Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi kazi utakuwa nayo kubwa sana.maana ninafupisha majina ya watu humu vibaya sana.Wivu sina ila roho inauma. Hasa hapo unapandika G basi shetani ananifanyia hila sana
Mungu wa mbinguni nihurumie, Nakuomba unisikie.
Sehemu.Nimekushushua wapi kipenzi?
Vibaya hivyo. Bibi zako hawana neno na mjukuu...
Nimisi japo kidogo, roho yangu ipone.
Ahsante kwa ushauri hapo kwenye mume wa mtu mmh nnavoogopa siombei kabisa.Asante sana FS ninaamini wameona..
ndio bhana ninamaboss zangu ndugu yangu😄😄
Sijui Kwa nini vidole vyangu vimegoma kubadili aina hii ya mwandiko😄.
Naonaga vidole vinabadilika nikiwa naandika ushauri😂
Hahaha…kabinti kachuo eee safi👊
Ninakaribia uzee ndugu yangu😂
Kama Uko na mtu wa kueleweka mama jipatie mtoto wako lakini nakutahadharisha asiwe mume wa mtu ndugu yangu
Bora uogope ndugu yangu.Ahsante kwa ushauri hapo kwenye mume wa mtu mmh nnavoogopa siombei kabisa.
Muandiko huo ni wa kabinti kabichii, ila ni vizuri tu, wasalimie maboss wetu
Bora uogope ndugu yangu.Ahsante kwa ushauri hapo kwenye mume wa mtu mmh nnavoogopa siombei kabisa.
Muandiko huo ni wa kabinti kabichii, ila ni vizuri tu, wasalimie maboss wetu
Ohoo pole kwa boss mkubwa , mwambie aungane tu na mdogo tufurahie pamoja hamna namna 😂Bora uogope ndugu yangu.
😂😂😂binti wa mchongo..
Zimafika..
Nasikitika boss mkubwa hajachukua kombe maana mmoja 🇫🇷 mwingine 🇦🇷..ngoja tufurahie ushindi wa boss mdogo