Basi kazi utakuwa nayo kubwa sana.maana ninafupisha majina ya watu humu vibaya sana.Wivu sina ila roho inauma. Hasa hapo unapandika G basi shetani ananifanyia hila sana
Mungu wa mbinguni nihurumie, Nakuomba unisikie.
Sehemu.Nimekushushua wapi kipenzi?
Vibaya hivyo. Bibi zako hawana neno na mjukuu...
Nimisi japo kidogo, roho yangu ipone.
Ahsante kwa ushauri hapo kwenye mume wa mtu mmh nnavoogopa siombei kabisa.Asante sana FS ninaamini wameona..
ndio bhana ninamaboss zangu ndugu yangu๐๐
Sijui Kwa nini vidole vyangu vimegoma kubadili aina hii ya mwandiko๐.
Naonaga vidole vinabadilika nikiwa naandika ushauri๐
Hahahaโฆkabinti kachuo eee safi๐
Ninakaribia uzee ndugu yangu๐
Kama Uko na mtu wa kueleweka mama jipatie mtoto wako lakini nakutahadharisha asiwe mume wa mtu ndugu yangu
Bora uogope ndugu yangu.Ahsante kwa ushauri hapo kwenye mume wa mtu mmh nnavoogopa siombei kabisa.
Muandiko huo ni wa kabinti kabichii, ila ni vizuri tu, wasalimie maboss wetu
Bora uogope ndugu yangu.Ahsante kwa ushauri hapo kwenye mume wa mtu mmh nnavoogopa siombei kabisa.
Muandiko huo ni wa kabinti kabichii, ila ni vizuri tu, wasalimie maboss wetu
Ohoo pole kwa boss mkubwa , mwambie aungane tu na mdogo tufurahie pamoja hamna namna ๐Bora uogope ndugu yangu.
๐๐๐binti wa mchongo..
Zimafika..
Nasikitika boss mkubwa hajachukua kombe maana mmoja ๐ซ๐ท mwingine ๐ฆ๐ท..ngoja tufurahie ushindi wa boss mdogo