Superhuman 1995
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 1,909
- 3,210
Kunauwezekano usio na shaka kabisa ,kama siasa za bara la Afrika zitakuwa hivi kwa chama kimoja kujiita dola na kuamulia vyama vingine viishije ,kupora uchaguzi waziwazi bila aibu,kuuwa wapinzani na wanaharakati wa tawala hizo, kueneza propaganda mfu kuwaita wasaliti tena sio wazalendo,kuna hatari kubwa robo tatu ya bara hili kuangukia vita vya wenyewe kwa wenyewe. Over