Aisee...Naomba kuwasilisha Tafadharii......
Maana nadhani hata uwezo wao wa kufikiri na kuchanganua mambo mbalimbali utakuwa upo chini saana..
Uliloliandikia uziUnajua upo jukwaa gani? Au umekurupuka tu kudandia uzi
True bro!!! Uelewa wangu umeongezeka mnooo toka niifahamu JF, kuna jukwaa la teknolojia lina manju akina Chief Mkwawa ni motooo!!! kwenye betting kuna akina Pdidy, habari mseto wapo akina Buji, isis, demiss nk .yaani JF imekamilikaaa.Siku haiipiti bila kuzuru humo.Naomba kuwasilisha Tafadharii......
Maana nadhani hata uwezo wao wa kufikiri na kuchanganua mambo mbalimbali utakuwa upo chini saana..
Wewe kabla ya kuifahamu ulikuwa huna maisha?Naomba kuwasilisha Tafadharii......
Maana nadhani hata uwezo wao wa kufikiri na kuchanganua mambo mbalimbali utakuwa upo chini saana..
Ni kawaida yenu kusifia vitu vya zamani hata km havikuwa na ubora wala welediMkuu hii ya sasa haina mvuto. Kuna ile JF ya 2012-15. Hii ndiyo ilikua yenyewe. Nilikua sina raha kabisa nisipoingia japo nilikua na view kama guest.
Babu kamoo,.Aisee...
Mkuu kwani mimi na wewe tunaingiliana wapi.? Ninazosababu kuisifia chogo na wewe unazo zako kuipenda flat. Huo ni moyo wako mkuu, tatizo liko wapi mimi kusifia JF ya zamani?Ni kawaida yenu kusifia vitu vya zamani hata km havikuwa na ubora wala weledi
Sio ajabu mkisifia Tv ya chogo dhidi ya flst tv
Mkuu mimi miaka hiyo nilikuwa chuo kidogo nidisco maana nikiwa lecture ndo ulikuwa mda mzuri wa kupitia jf I wish jf ile ingerudiMkuu hii ya sasa haina mvuto. Kuna ile JF ya 2012-15. Hii ndiyo ilikua yenyewe. Nilikua sina raha kabisa nisipoingia japo nilikua na view kama guest.