Ninawaza tu lakini, hivi watu ambao hawaifahamu JamiiForums wanaishije?

Ninawaza tu lakini, hivi watu ambao hawaifahamu JamiiForums wanaishije?

Kwa asiyeelewa anaweza kukushangaa ila huo ndio uwezo wa upeo wako ulipofikia kuyajadili mambo. Pole
Unajua upo jukwaa gani? Au umekurupuka tu kudandia uzi
 
Naomba kuwasilisha Tafadharii......
Maana nadhani hata uwezo wao wa kufikiri na kuchanganua mambo mbalimbali utakuwa upo chini saana..
True bro!!! Uelewa wangu umeongezeka mnooo toka niifahamu JF, kuna jukwaa la teknolojia lina manju akina Chief Mkwawa ni motooo!!! kwenye betting kuna akina Pdidy, habari mseto wapo akina Buji, isis, demiss nk .yaani JF imekamilikaaa.Siku haiipiti bila kuzuru humo.
 
Hahahaaaaa Haya mwana was jamii forums hii ni ya ukoo wenu
 
Ni kawaida yenu kusifia vitu vya zamani hata km havikuwa na ubora wala weledi

Sio ajabu mkisifia Tv ya chogo dhidi ya flst tv
Mkuu kwani mimi na wewe tunaingiliana wapi.? Ninazosababu kuisifia chogo na wewe unazo zako kuipenda flat. Huo ni moyo wako mkuu, tatizo liko wapi mimi kusifia JF ya zamani?
 
Back
Top Bottom