Ninawaza tu lakini, hivi watu ambao hawaifahamu JamiiForums wanaishije?

Mkuu, mazingira humpa mtu kila kitu anachokihitaji. Uraibu wako wa jf ni upuuzi kwa mwingine.
 
Kwanini umeikacha ile ID yako pendwa? Ilishazoeleka ujue. Au kuna bwege alikukwaza? Tema mate nimchape
Babu si unajua me nilivyo unique na mshwitiii kuna raia wanapenda kufananisha watu,.nimeona bora niwe muungamishaji tuu,.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…