Kweli mkuu.Kwa taarifa yako, ndani ya Tanzania yetu hii na chini ya BOT hakuna Benki ya maana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli mkuu.Kwa taarifa yako, ndani ya Tanzania yetu hii na chini ya BOT hakuna Benki ya maana.
Kweli ila kwa hizi third world countries Ni tatizo.Hakuna cha taasisi kubwa kwenye swala la haki
Yaani kwa wachangiaji Hawa wote waliochangia wamenielewa Ila Ni wewe tu usiyeelewa 🤔🤔🤔🤔Yani wewe hueleweki,hata kusiidiwa ni ngumu sana.
-Vitaje vitu hivyo...Kuna vitu ujaeleza lazima, wao sio vichaa; kuna shida mahali lazima unayoijua
Hiyo inaitwa consolidation, uliunganisha mkopo uliokuwa umesalia wa 2m pamoja na mkopo ulioomba wa 7m na kupata mkopo mpya wa 9m.Ipo hivyi
Walikuwa wananidai Milioni mbili na nikaongeza Deni la Milioni Saba jumla Milioni Tisa.
Hivyo Basi kwenye Deni jipya nikaandikiwa Milioni 9 na nikapewa Milioni 7 cash Ila wakati pesa zinaingia akaunti ikafungiwa na pesa sikuzipokea mkononi na salio lilokuwepo kwenye akaunti pia likajumlishwa na mkopo huo kufungiwa.
2:- Mkopo wa awali kwenye ESS haujatolewa na huku kwenye makato mapya ya mkopo wa Milioni Tisa wanakata pia......Aiseeeeh
Haujanielewa.Hiyo inaitwa consolidation, uliunganisha mkopo uliokuwa umesalia wa 2m pamoja na mkopo ulioomba wa 7m na kupata mkopo mpya wa 9m.
Unless huu mkopo mpya wa 9m labda ungepewa muda mrefu zaidi wa kulipa ili rejesho la mkopo uweze kulimudu otherwise inaweza kuwa vigumu kumudu kulipa marejesho ya mikopo yote miwili.
Nadhani haukupata ushauri mzuri kabla ya kuchukua huo mkopo wa pili. Ilitakiwa either mkopo wa 2m bila riba upunguzwe kwenye 7m ili ubaki na mkopo mmoja wa 7m au endapo ingeunganishwa then muda wa mkopo wa 7m ulitakiwa uwe mtefu zaidi ili ikijumlisha na balance ya 2m rejesho lake uweze kulimudu.
Otherwise kulingana na maelezo uliyotoa benki wako sahihi, mkopo wa 2m marejesho yake hayajaisha na huo wa 7m pia unatakiwa kulipa. Hapo labda ukaongee nao wafanye walichotakiwa kufanya wakati unaomba mkopo wa pili, kukuongezea muda wa kulipa ili uweze kumudu rejesho
Haujanielewa.
Ila kiufupi niliomba mkopo wa Milioni Tisa kwa lengo la kulipa Deni la mkopo wa awali wa Milioni mbili na baada ya kulipa ndipo ikabakia Milioni Saba niliyowekewa
Haujanielewa.
Ila kiufupi niliomba mkopo wa Milioni Tisa kwa lengo la kulipa Deni la mkopo wa awali wa Milioni mbili na baada ya kulipa ndipo ikabakia Milioni Saba niliyowekewa kwenye akaunti na kufungiwa.
Umeelewa?
Maelezo yako ya hapo juu hayakutaja milioni 9. Ulitaja 2m na 7mHaujanielewa.
Ila kiufupi niliomba mkopo wa Milioni Tisa kwa lengo la kulipa Deni la mkopo wa awali wa Milioni mbili na baada ya kulipa ndipo ikabakia Milioni Saba niliyowekewa kwenye akaunti na kufungiwa.
Umeelewa?
Mimi na maafisa utumishi tulisaini mkopo wa Milioni 9 jumla na Deni kulipwa, na ushahidi mwingine makato ya mkopo mpya Ni yake Yale ya Milioni 9 kwa miaka 6.Maelezo yako ya hapo juu hayakutaja milioni 9. Ulitaja 2m na 7m
Kama uliomba 9m na ukapewa 7m na mkopo wa awali unaendelea kuulipa then uliwahi kuuliza zile 2m kwenye 9m zilienda wapi? Umeomba bank statement yako na kuona wao benki walikuingizia kiasi gani? Mkopo mpya unalipa wa 7m au 9m? Kama ni 7m je hiyo 9m unayoisema wewe iko wapi?
Una uhakika kuwa mkopo uliokuwa approved ni 9m? Maana unaweza kuwa ulipmba 9m lakini ikawa approved 7m.
Any way kama kweli una ushaidi kwamba ulipewa mkopo wa 9m na unakatwa makato ya 9m lakini kwenye account yako zikaingizwa 7m na bado mkopo wa awali unaendelea kukatwa then una haki ya kulalamika na hili ni jambo ambalo lipo straight foward labda wewe tu ndio umeshindwa kujieleza vizuri
Pia kumbuka kwenye mfumo wa ESS Banki moja haiwezi kupandisha mikopo miwili Ni lazima mkopo wa Kwanza, wa pili, watatu, wanne nk uwekwe pamoja ili uweze kukubaliwa na mfumo. Ndiyo wanaita (Top up)Hiyo inaitwa consolidation, uliunganisha mkopo uliokuwa umesalia wa 2m pamoja na mkopo ulioomba wa 7m na kupata mkopo mpya wa 9m.
Unless huu mkopo mpya wa 9m labda ungepewa muda mrefu zaidi wa kulipa ili rejesho la mkopo uweze kulimudu otherwise inaweza kuwa vigumu kumudu kulipa marejesho ya mikopo yote miwili.
Nadhani haukupata ushauri mzuri kabla ya kuchukua huo mkopo wa pili. Ilitakiwa either mkopo wa 2m bila riba upunguzwe kwenye 7m ili ubaki na mkopo mmoja wa 7m au endapo ingeunganishwa then muda wa mkopo wa 7m ulitakiwa uwe mtefu zaidi ili ikijumlisha na balance ya 2m rejesho lake uweze kulimudu.
Otherwise kulingana na maelezo uliyotoa benki wako sahihi, mkopo wa 2m marejesho yake hayajaisha na huo wa 7m pia unatakiwa kulipa. Hapo labda ukaongee nao wafanye walichotakiwa kufanya wakati unaomba mkopo wa pili, kukuongezea muda wa kulipa ili uweze kumudu rejesho
FA na AY.Ungenisaidia Mambo mawili.
1:- Niweze kumfahamu aliyekuwa mwanasheria wao.
2:-Kufahamu zaidi kuhusu kesi hiyo tafadhari.
Kumradhi wananchi wenzangu 🤦🏾♂️🙏🏾 ni DC kweli… haraka haraka za kuandika ili tumpe njia mwenzetu.Siyo mkuu wa mkoa bali ni mkuu wa wilaya. Kwa sasa yupo wilaya ya Handeni, Tanga.
Ndiyo nahitaji njia mbadalaKumradhi wananchi wenzangu 🤦🏾♂️🙏🏾 ni DC kweli… haraka haraka za kuandika ili tumpe njia mwenzetu.
Ahsante kwa kunirekebisha 🙏🏾
Mkuu mpe njia hapo bado hujasaidia yeye kafanya yake kagonga mwamba ndo amekuja kuomba ushauri nini afanye.Watanzania tujitahidi kuacha ujinga kwenye mambo ya msingi watu wanakuchezeaje hivyo na wewe upo tu kama Bumunda au wewe ni Mwalimu???