Mgaa gaa upwa
Senior Member
- Jan 11, 2024
- 180
- 281
- Thread starter
- #61
Uliza chochote kuhusu taarifa hii kinacho kutia Shaka nitakujibu.Siamini kama hii taarifa ni ya kweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uliza chochote kuhusu taarifa hii kinacho kutia Shaka nitakujibu.Siamini kama hii taarifa ni ya kweli.
AsantePole sana mkuu
Kubwa kwa wengine kwako ni waonezi wako, syat positive haki yako ni ya muhimu zaidi!Ila kumbuka napambana na taasisi kubwa inayopitisha mishahara asilimia kubwa ya watumishi wa serikali.
Ikiwezekana mchek Boniface Mwabukusi.Naomba email yake nimuandikie maana Nina uhakika Sina tatizo na mtu ndiyo maana nimeamua kujishusha ili nipate haki yangu.
Mimi siyo wa kukaripiwa Kama mtoto mdogo eti kisa ni Branch manager
Mabenki yanaiba sana kwenye TopupKwanza Pole sana
nilichochogundua kuwa wewe ni mtumishi wa Umma na ndo maana Huyo manager amesema arakushitak kwa mkurugenzi wako
Kwa ushauri wangu kwenye kutafuta haki usiogope wala nini anza kwanza kwa huyo mkurugenzi wako muelezee na HR manager wako.
pia omba kuhama bank ya kupokea mshahara kutoka NMB kwenda bank Nyingine mfano CRBD au NBC
Tatu andika barua kwa HR manager kuwaomba wache kufanya makato ya mkopo wako kwa kuwa NMB wamekiuka makubaliano ya makato.
Elewa kwamba NMB hawawez kukata makato toka hazina moja kwa moja bila wao huwasilisha madai ya makato kwa muajiri wako ili uanze kukatwa hivo kwa scenario hiyo anza kwa muajiri wako.
Mwisho tafuta nauli uende NMB makao makuu kwa afisa mikopo mkuu na mwanasheria wa NMB wakupe ufafanuzi wa kisheria kuhus makato unayokatwa na mpate muafaka wa kuondolewa hayo makato ambayo sio halali.
Hakikisha unapoenda tafuta mwanasheria wako mlipe kwa siku hiyo moja muende wote.
Beba ushahidi wa kina wenye uzito.
Mwisho usiogope kutafuta haki yako vitisho vya aina yoyote ile usiogope kwa kuwa mkopo unaokopa upo kisheria na una taratibu zake hivo kama wamekiuka taratibu hata wakishutaki kwa muajiri wako hawawez kukuletea madhara.
Ajira za serikali sio kama private huwez kufuzwa kwa sababu za kipuuzi kama hizo.
Zinagatizo usirudie tena kufanya topup ya mkopo wa aina yoyote ile ni hatar sana
Sikuogopa Ila nilimheshimu tu.Kuna watu wakiona mtu anafanya kazi bank basi wanamuona wa maana na kumuogopa
Kuna majizi humu ukijichanganya lazima uumie
Haki yako unashindwa kuipigania
Anawezaje kukuambia eti ntakushtaki kwa mkurugenzi ufukuzwe kazi na wewe unaogopa badala ya kwenda kwa mkurugenzi
Nyie ndio mnazabwa kofi mnaondoka
Pigania haki yako na uhame bank hiyo
Sikuidhania hapo awali nilijua Ni bank nzuri.Ni kwanini hii benki huwa inafanya udanganyifu kwa wateja wake???!!!
Mara nying imekuwa ikawahadaa wateja wake. Wizi na utapeli mtupu
...Ni Vizuri ukatuleza Wazi kilichopo ili tuweze kusaidia.Poleni na majukumu ya Kila siku.
Mwezi wa tano nilimfungulia biashara ya uwakala mke wangu, nikajenga duka na lilipokamilika nikawa nimebakiwa na fedha kidogo Kama mtaji, baada ya biashara kuanza nikaona Umuhimu wa kupanua biashara.
Nikawahi Benki ya NMB na kupata mkopo wa fedha kidogo ili kukuza biashara nilichukua kidogo ili kuendana na upepo.
Upepo ukakubali hivyo nikaamua kuongeza mkopo (top up).
Hilo lilikuwa kosa kubwa kwani Mara baada ya fedha za top up kuingia tu matatizo yakaanza..
1:-Akaunti yangu ikafungiwa na kiasi changu Cha fedha zangu za akiba, matumizi binafsi na mkopo wenyewe zikafungiwa.
2:- Nikaanza kukatwa mkopo Mara mbili yaani nakatwa mkopo wa Kwanza ule mdogo nilioulipa (kwenye top up) na mkopo wa pili (mkopo mkuu uliobeba Deni lote) nakatwa pia.
3:- Mkopo wa Kwanza haujafutwa (Maana nimeulipia kwenye top up)
Nimefuatilia Sana tatizo langu hapa tawini Hadi branch manager akanichukia na kuanza kunitisha kuwa atanishtaki kwa mkurugenzi ili nifukuzwe kazi.
Nikaamua kuingia kwenye emails (NMB makao makuu,huduma kwa wateja na BOT huduma kwa wateja) nikatembelea tawi la NMB mkoani Ila tatizo lipo pale pale.
Kuanzia mwezi wa Tisa Hadi mwezi wa kumi na mbili bado namekatwa makato zaidi na fedha zangu zimezuiliwa.
Msaada wanajf maana mwaka unaelekea ukingoni na Mimi sijatimiza adhima ya kumuwezesha mke.
Nitumie mbinu gani, watu gani na njia gani kuchukua pesa zangu.
Nimeweka ushahidi wa emails hapo chini.
Kwanza naomba kuuliza wakati unapewa mkopo wa top up, ulipewa hela yote uliyoomba au ulipewa balance baada ya kufuta mkopo wa awali.Poleni na majukumu ya Kila siku.
Mwezi wa tano nilimfungulia biashara ya uwakala mke wangu, nikajenga duka na lilipokamilika nikawa nimebakiwa na fedha kidogo Kama mtaji, baada ya biashara kuanza nikaona Umuhimu wa kupanua biashara.
Nikawahi Benki ya NMB na kupata mkopo wa fedha kidogo ili kukuza biashara nilichukua kidogo ili kuendana na upepo.
Upepo ukakubali hivyo nikaamua kuongeza mkopo (top up).
Hilo lilikuwa kosa kubwa kwani Mara baada ya fedha za top up kuingia tu matatizo yakaanza..
1:-Akaunti yangu ikafungiwa na kiasi changu Cha fedha zangu za akiba, matumizi binafsi na mkopo wenyewe zikafungiwa.
2:- Nikaanza kukatwa mkopo Mara mbili yaani nakatwa mkopo wa Kwanza ule mdogo nilioulipa (kwenye top up) na mkopo wa pili (mkopo mkuu uliobeba Deni lote) nakatwa pia.
3:- Mkopo wa Kwanza haujafutwa (Maana nimeulipia kwenye top up)
Nimefuatilia Sana tatizo langu hapa tawini Hadi branch manager akanichukia na kuanza kunitisha kuwa atanishtaki kwa mkurugenzi ili nifukuzwe kazi.
Nikaamua kuingia kwenye emails (NMB makao makuu,huduma kwa wateja na BOT huduma kwa wateja) nikatembelea tawi la NMB mkoani Ila tatizo lipo pale pale.
Kuanzia mwezi wa Tisa Hadi mwezi wa kumi na mbili bado namekatwa makato zaidi na fedha zangu zimezuiliwa.
Msaada wanajf maana mwaka unaelekea ukingoni na Mimi sijatimiza adhima ya kumuwezesha mke.
Nitumie mbinu gani, watu gani na njia gani kuchukua pesa zangu.
Nimeweka ushahidi wa emails hapo chini.
Siyo mkuu wa mkoa bali ni mkuu wa wilaya. Kwa sasa yupo wilaya ya Handeni, Tanga.Na huyo mwanasheria wao saiv ni mkuu wa mkoa fulani hapa nchini. Maisha yao ni raha tu
Pambania haki yako, asikutishe au yeye ndio anaibaSikuogopa Ila nilimheshimu tu.
Na tena nilimjibu kuwa sidhani Kama lengo la majadiliano Yale Ni kutishana.
Ndugu yangu mkopo wa bank una walakini, hakuna aliyekopa akabaki salamaPoleni na majukumu ya Kila siku.
Mwezi wa tano nilimfungulia biashara ya uwakala mke wangu, nikajenga duka na lilipokamilika nikawa nimebakiwa na fedha kidogo Kama mtaji, baada ya biashara kuanza nikaona Umuhimu wa kupanua biashara.
Nikawahi Benki ya NMB na kupata mkopo wa fedha kidogo ili kukuza biashara nilichukua kidogo ili kuendana na upepo.
Upepo ukakubali hivyo nikaamua kuongeza mkopo (top up).
Hilo lilikuwa kosa kubwa kwani Mara baada ya fedha za top up kuingia tu matatizo yakaanza..
1:-Akaunti yangu ikafungiwa na kiasi changu Cha fedha zangu za akiba, matumizi binafsi na mkopo wenyewe zikafungiwa.
2:- Nikaanza kukatwa mkopo Mara mbili yaani nakatwa mkopo wa Kwanza ule mdogo nilioulipa (kwenye top up) na mkopo wa pili (mkopo mkuu uliobeba Deni lote) nakatwa pia.
3:- Mkopo wa Kwanza haujafutwa (Maana nimeulipia kwenye top up)
Nimefuatilia Sana tatizo langu hapa tawini Hadi branch manager akanichukia na kuanza kunitisha kuwa atanishtaki kwa mkurugenzi ili nifukuzwe kazi.
Nikaamua kuingia kwenye emails (NMB makao makuu,huduma kwa wateja na BOT huduma kwa wateja) nikatembelea tawi la NMB mkoani Ila tatizo lipo pale pale.
Kuanzia mwezi wa Tisa Hadi mwezi wa kumi na mbili bado namekatwa makato zaidi na fedha zangu zimezuiliwa.
Msaada wanajf maana mwaka unaelekea ukingoni na Mimi sijatimiza adhima ya kumuwezesha mke.
Nitumie mbinu gani, watu gani na njia gani kuchukua pesa zangu.
Nimeweka ushahidi wa emails hapo chini.
Hoja sio kutumia Media tu, lazima mengine yazingatiwe tu. Ni lazima ukae na wanasheria wabobevu ili kuona kama madai yako yana mashiko na kuna mianya ya kupita, kisha uelekee kwenye media ili kuondoa uwezekano wa kesi yako kuishia gizani.Unamkumbuka kuna mfanyabiashara fulani pale kariakoo alikuwa na kesi na TRA? Alitumia media mwisho wa siku hamna alichokipata.
Kwani huyo wa TRA aliwahi kwenda mahakamani kufungua kesi kweli? Nakumbuka huyu bwana viongozi wa serikali na TRA waliishia tu kumpiga dana dana hadi alipoamua kujiua kwa kujipiga risasi.Hoja sio kutumia Media tu, lazima mengine yazingatiwe tu. Ni lazima ukae na wanasheria wabobevu ili kuona kama madai yako yana mashiko na kuna mianya ya kupita, kisha uelekee kwenye media ili kuondoa uwezekano wa kesi yako kuishia gizani.
Kwenye kesi za madai dhidi ya makampuni makubwa, ukiwa na hoja zenye mashiko na ushahidi wa kutosha then ukatembea na media, hiyo unashinda mchana kweupe.
Huyo wa TRA alianzisha kesi bila kuwa na msingi, media haikufanyi ushinde kesi zaidi ya kuileta kwenye mwanga.
Mwanzoni waliniambia mfumo wa ESS una matatizo ukitulia watafuta Deni langu la awali (maana nimeisha lilipa) Ila kadri muda unavyosogea sababu zinakua nyingi Hadi hivi Sasa nikiwapigia simu wanasema niendelee kukaa hivyo hivyo Hadi Mambo yatakavyo kuwa sawa....Ni Vizuri ukatuleza Wazi kilichopo ili tuweze kusaidia.
Wamuambia Kwa Nini hasa Account imefingwa ? Bila shaka watakuwa na Sababu. Tuanzie Hapo...