Ninawezaje kuifungulia mashtaka Benki ya NMB kwa dhuluma hii ya fedha zangu?

Ungenisaidia Mambo mawili.

1:- Niweze kumfahamu aliyekuwa mwanasheria wao.

2:-Kufahamu zaidi kuhusu kesi hiyo tafadhari.
Okay! Wanaitwa Msando Law attorneys… wapo Faykat Tower (Morocco) bagamoyo road! Mbele kidogo na makao makuu ya Airtel, ghorofa ya 9.

Lakini angalizo ni kwamba TAMBUA NMB WANA WANASHERIA PIA WAKUBWA TU! mtanange utakuwa mkali…, sikukatishi tamaa lakini
 
Hapafu wewe pia unaficha taarifa husemi I NMB branch ipi??,huo Mkopo ni wa aina gani mfanyakazi au mfanyabiashara???;malipo unalipa kwa njia ipi ya makato kwenye mshahara au kwa kupeleka mwenyewe bank.
1:- Mkopo Ni wa mfanyakazi.
2:- Malipo yanakatwa hazina. (Ila wao wanakata Mara mbili hazina na mshahara unapofika Benki wanakata Tena.)
 
Okay! Wanaitwa Msando Law attorneys… wapo Faykat Tower (Morocco) bagamoyo road! Mbele kidogo na makao makuu ya Airtel, ghorofa ya 9.

Lakini angalizo ni kwamba TAMBUA NMB WANA WANASHERIA PIA WAKUBWA TU! mtanange utakuwa mkali…, sikukatishi tamaa lakini
Hilo ndilo tatizo

(NMB Wana wanasheria pia wakubwa tu).

Na tena nimeshuhudia mtu akinyimwa haki yake zaidi ya miaka 30, napata Shaka kuu.

Ila penye Nia Pana njia ngoja niwacheki wanasheria Kwanza.
 
Hawa Msando wapo vizuri, wengine ni Joachim & jacob, na ile law firm ya Ridhwaan Kikwete… jina kidogo limenitoka
 
U

USiende mahakamani kama huna Mwandishi wa habari, mawakili wa Town elewa neno "Town" na ushahidi wa kutosha. Hii taasisi inaweza kununua mahakama kama genge la nyanya. Be smarter
Waandishi wa habari,kwanini aende nao?
 
Huwa nina akili chafu sana na yakikatili hakika nitakuja kuua watu wengi sana

Yaan huyo meneja ni wa kumpiga moto ndani kwake na familia yake,sipendag ujinga mimi tena wa kuonewa kinyonge
Daaaah!

Hebu vuta picha unafika Benki iliyo na walinzi Kila Kona wamebeba bunduki pamoja na marungu.

Unaingia Benki unakutana na afisa mikopo hakujali, unaenda kwa Bank manager anayekukaripia na kurudisha kwa afisa mikopo asiyejal.

Huo uwezo wa kufanya vurugu utautoa wapi , Kama siyo kutafuta kusingiziwa kuwa Ni jambazi.
 
Hapo Kuna tatizo kidogo

-Mwandishi wa habari (media gani?)

-Mawakili wa town (Specifications zao zikoje?)
Mwandishi wa habari media yoyote kubwa let's say Jambo TV n.k
Record Kwanza video kuhusu "Kutapeliwa na NMB". hakikisha unaabaki na copy ya video then hakikisha video inarushwa kwenye tv Yao and share iyo video tiktok e.t.c,

Mawakili wa town : namaanisha mawakili wenye uzoefu wa kutosha. Wanapatikana wapi ulizia ukikosa nenda "Twitter"
 
Daaaah!

Hebu vuta picha unafika Benki iliyo na walinzi Kila Kona wamebeba bunduki pamoja na marungu.

Unaingia Benki unakutana na afisa mikopo hakujali, unaenda kwa Bank manager anayekukaripia na kurudisha kwa afisa mikopo asiyejal.

Huo uwezo wa kufanya vurugu utautoa wapi , Kama siyo kutafuta kusingiziwa kuwa Ni jambazi.
Hao wote nitafatilia wanakoishi maana huko hakuna hayo mabunduki
 
Mwandishi wa habari media yoyote kubwa let's say Jambo TV n.k
Record Kwanza video kuhusu "Kutapeliwa na NMB". hakikisha unaabaki na copy ya video then hakikisha video inarushwa kwenye tv Yao and share iyo video tiktok e.t.c,

Mawakili wa town : namaanisha mawakili wenye uzoefu wa kutosha. Wanapatikana wapi ulizia ukikosa nenda "Twitter"
Asante.
 
Back
Top Bottom