Ninawiwa kusema huyu MC Gara B anapendwa mno na hawa wanawake!

Leo hakuna cha salamu, nimeshaona kwa wanawake zaidi ya wanne wa jamaa zangu wakiwalazimisha waume zao kuwa liwalo na liwe kwenye events zao Mc ni lazima awe GaraB.

Sio mbaya, jamaa yupo vizuri na anafanya kazi nzuri. Napongeza kwa hilo. Shida ni hawa wake zetu hususani huyu wangu, karibu kila event ya GaraB anang'ang'ania kwenda.

Linaweza kuwa jambo zuri, ila kama mwanaume nasononeka mno kwa wife kuonesha kuvutiwa na events za jamaa japo ni jambo zuri!

Ila nimeongeza umakini na uangalifu kwa mke wangu kipindi hiki cha ujauzito wake, kuhusu mambo yake ya kuvutiwa na huyu MC.

Yaani kazini karibia wadada wote wanaonesha kumkubali mno GaraB mpaka wengine wanakiri kuwa tayari hata awafanye mipango ya kando tu.

Daaah! Hasara na pole kubwa kwa waume zao.
waambie kuna chuma kinaitwa William
 
Wanawake bwana, usijekuta hata huyo mtoto mtakayemzaa atamuita Gara B Mkulungwa01.
 
Leo hakuna cha salamu, nimeshaona kwa wanawake zaidi ya wanne wa jamaa zangu wakiwalazimisha waume zao kuwa liwalo na liwe kwenye events zao Mc ni lazima awe GaraB.

Sio mbaya, jamaa yupo vizuri na anafanya kazi nzuri. Napongeza kwa hilo. Shida ni hawa wake zetu hususani huyu wangu, karibu kila event ya GaraB anang'ang'ania kwenda.

Linaweza kuwa jambo zuri, ila kama mwanaume nasononeka mno kwa wife kuonesha kuvutiwa na events za jamaa japo ni jambo zuri!

Ila nimeongeza umakini na uangalifu kwa mke wangu kipindi hiki cha ujauzito wake, kuhusu mambo yake ya kuvutiwa na huyu MC.

Yaani kazini karibia wadada wote wanaonesha kumkubali mno GaraB mpaka wengine wanakiri kuwa tayari hata awafanye mipango ya kando tu.

Daaah! Hasara na pole kubwa kwa waume zao.
Seminari haijawahi kutoa product mbovu.
 
Wewe Mc ni kiazi mbatata kilichooza!

Mimi nipo ngara, afu wewe upo kinondoni, unajipigia promo humu Jf au unafikiri unajulikana hadi Rorya?
 
Leo hakuna cha salamu, nimeshaona kwa wanawake zaidi ya wanne wa jamaa zangu wakiwalazimisha waume zao kuwa liwalo na liwe kwenye events zao Mc ni lazima awe GaraB.

Sio mbaya, jamaa yupo vizuri na anafanya kazi nzuri. Napongeza kwa hilo. Shida ni hawa wake zetu hususani huyu wangu, karibu kila event ya GaraB anang'ang'ania kwenda.

Linaweza kuwa jambo zuri, ila kama mwanaume nasononeka mno kwa wife kuonesha kuvutiwa na events za jamaa japo ni jambo zuri!

Ila nimeongeza umakini na uangalifu kwa mke wangu kipindi hiki cha ujauzito wake, kuhusu mambo yake ya kuvutiwa na huyu MC.

Yaani kazini karibia wadada wote wanaonesha kumkubali mno GaraB mpaka wengine wanakiri kuwa tayari hata awafanye mipango ya kando tu.

Daaah! Hasara na pole kubwa kwa waume zao.
Wewe ni chawa wa huyo jamaa?
 
huwa unaboa sana wewe MC
 
Wanataka ku trend wakikata viuno
 
Back
Top Bottom