Ninawiwa kusema huyu MC Gara B anapendwa mno na hawa wanawake!

Ninawiwa kusema huyu MC Gara B anapendwa mno na hawa wanawake!

Utakuta anajipigia bure

Madem wa kibongo bana

Ova
 
Wanawake wanapenda attention.. ndivyo walivyo; hivyo si ajabu wakawa wanavutiwa na vitu vinavyotajwa tajwa ili na wao waonekane

Ndiyo maana wanawake hushobokea celleb

Tofaut na sisi wanaume ambao kwa kawaida huwa tunajali mambo yetu
Alafu wanaliwa bure kbsa

Ova
 
Siku hizi ukiwa mropokaji, mtu wa kujitoa ufahamu tayari unakuwa celeb
 
Back
Top Bottom