herufi za mwanzo za majina yangu matatu ni CCM, dhambi iko wapi? unaweza kuendelea kuchakachua ili kung'amua majina halisi. Mmeanza kutafiti nani huyu anajiita CCM badala ya kuangalia huyu mtu anasema nini hapa! Mnapenda kupindisha mada ilimradi tu mpoteze umma. Matokeo ndio hayo yanakamilishwa na hakuna hata sehemu moja ambapo uchaguzi wa rais ulirukwa ukiacha kasoro fulani katika maeneo ya wabunge na madiwani. Jumlisheni hizo kura ili mhakikishe kuwa huyo anayetajwa ndiye mshindi.
kwa wehu kama wewe tunahitaji tuwajue ili siku kikinuka tuanze na nyie,..si mnaiba kura mkijivunia dola, tukianza chapana hapa hata hiyo dola itkiona tuu, kwani hiyo dola si tunaishi nayo humu humu mitaani..hawaishi mbinguni rite..so ndo maana tunataka kukujua..hatuna haja na hoja yako cuz' ni pumba tuu..