Ninayempenda Nisiyemjua Kanitolea Nje

Status
Not open for further replies.
Pole sana ndugu, njoo kwangu mi sina mtu nafasi iko wazi..
 
ya nini malumbano...

Hahahahahaha! Nimekuzawadia hii

The Following User Says Thank You to Kaizer For This Useful Post:
Chrispin (Today)

Na red apple moja kwa hii yuzifuli posti.........................
 
Mimi huwa nasikizaga watumishi wa Mungu na wala si wanaharakati wa Jinsia hata kama wako sensitivu kiasi gani.....:closed_2:

Kusikiliza maaskofu peke yao bila wanaharakati ni kutojitendea haki hasa katika kipindi hiki cha viongozi wetu wa dini kutokuwa waaminifu..aah natania tu!
 
mmhhhh mapenzi ni ishu nyeti,usiombe upende pasipopenda utajikok
 
Kusikiliza maaskofu peke yao bila wanaharakati ni kutojitendea haki hasa katika kipindi hiki cha viongozi wetu wa dini kutokuwa waaminifu..aah natania tu!

Ahaaaa.... ndio maana hukuonekana??

Anyway, usiwe na hofu na huduma zetu, najitolea kukufanyia maombi Jumamosi na Jumapili, uje tu usiogope mpendwa..
 
kila anayependa angekubaliwa kupendwa na kuoana na ampendaye dunia ingekuwa kama mbingu. Familia nyingi ziko kwenye mahusiano ya ndoa kwa kuwa wamekubaliana kuoana na siyo kwamba wanapendana sana. Wengine wamepeana mimba suluhisho likawa ni kuoana. Ninachotaka kumwambia mtoa mada ni kuwa yule moyo wake unampenda kwa thati hatakuwa tayari kuolewa naye, ataangukia kuoana na mwingine anayempenda yeye ingawaje yeye hampendi kwa thati, lakini ili kwenda na umri maana lazima uoe au uolewe ukifika umri wa utu mzima itakuwa hivyo. Hata kama upendo haupo toka pande zote, mtaunganishwa na watoto.
 
Ni kweli Vicenti kama ingekuwa hivyo duniani kungekuwa kuna raha kama paradise lakini mambo ndio yako kinyume sana ..mfano hai GS kampenda mtu bad lucky hajapendwa ..:A S 39:
 
Ahaaaa.... ndio maana hukuonekana??

Anyway, usiwe na hofu na huduma zetu, najitolea kukufanyia maombi Jumamosi na Jumapili, uje tu usiogope mpendwa..

Mtoa mada tayari ni majeruhi wa mapenzi kuja huko kwako kutafuta wa kumpoza atampata aliye huru au aliyejeruhiwa kama yeye? Nathani angejituliza haya mambo hayafanywi kwa haraka
 
[SIZE=3 said:
Asprin[/SIZE];973804]Hahahahahaha! Nimekuzawadia hii

The Following User Says Thank You to Kaizer For This Useful Post:
Chrispin (Today)

Na red apple moja kwa hii yuzifuli posti.........................

whaT?>>>>>>>>>>>
 
Hi thredi itaisha na wed kap nini....? eti GS??
 
Dah! Naona mang'amung'amu huku tu kwani sielewi hata somo. Unampenda mtu bila kumwona? Ila wanawake ndio wako hivyo zaidi
 
Mkeshahoi,
Wewe ni mtabiri? Ulimtabiria vizuri sana ndugu yetu GS. Huenda matamanio yake kwa huyo mtu aliyemdondokea yangefikiwa, huu mchakato wa kupata vikubwa zaidi ungempitia mbali sana.
 
Mkeshahoi,
Wewe ni mtabiri? Ulimtabiria vizuri sana ndugu yetu GS. Huenda matamanio yake kwa huyo mtu aliyemdondokea yangefikiwa, huu mchakato wa kupata vikubwa zaidi ungempitia mbali sana.

...yeeap, lakini watu walivo wanafiki kwenye malavidavi, wacha GS aingie mjengoni....utamsikia huyo jamaa...oooh sorry nisamehe, was in love too but utoto tu sijui bla bla tuuuu.......aaah!
 
...yeeap, lakini watu walivo wanafiki kwenye malavidavi, wacha GS aingie mjengoni....utamsikia huyo jamaa...oooh sorry nisamehe, was in love too but utoto tu sijui bla bla tuuuu.......aaah!

Next Level,
Sikuwa nimefikiria upande huu wa shilingi. Huenda akajilaumu kwa kupoteza fursa adimu.
 
...yeeap, lakini watu walivo wanafiki kwenye malavidavi, wacha GS aingie mjengoni....utamsikia huyo jamaa...oooh sorry nisamehe, was in love too but utoto tu sijui bla bla tuuuu.......aaah!

Think big ...:A S 39:
 
Maombi yangu yalifanikiwa... alishamdiliti... sasa tumuombee apite na huo mtihani mwingine...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…