FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
Hongera sana FL1.Kwa sasa yuko bize anapiga vuvuzela kwenye World Cup...
hahaha GS we acha mpendwa haya maisha hujui utakayempenda na akakupenda kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera sana FL1.Kwa sasa yuko bize anapiga vuvuzela kwenye World Cup...
I'm in Love With a DJ Yvone Chakachaka :A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:
Hebu cheki na Charity kama atakuruhusu afu umgongee na Askofu aje ahalalishe kwa upako:closed_2:.......
Pole sana ndugu, njoo kwangu mi sina mtu nafasi iko wazi..Wapwaz na Binamuzi wote.
Mtakumbuka niliwahi kuanzisha masa hapa ikisomeka"nimempenda mtu nisiyemfahamu-sijawahi kumuona" niliomba ushauri na nilipata ushauri toka kwa baadhi yenu ya namna ya kumwambia..Nilikuwa nachat naye mara nyingi,kila akiwa hewani nilikuwa siachi kumsalimia na kuzungumza naye mawili matatu,kifupi ni mtu pekee humu JF niliyemzoea sana na kuweza kumwambia chochote kinachonihusu bila kumficha.Na katika kumzoea huku kukanifanya nizidi kumpenda.Baada ya kuzoeana naye Nilijikaza nikamwambia ukweli,jamaa akachomoa,nikaendelea kuvumilia na kuendelea kumsisitiza,hivi karibuni ameniambia ana mtu,nimeumia sana kwani nilkuwa najifariji huenda akawa hana mtu...Kifupi ni kwamba kanitolea nje..Nampenda..Niko njia panda sijui nifanyeje.....
Wenu katika majonzi
Gender Sensitive....
....:confused2:.....:sorry:.....:disapointed:
ya nini malumbano...
Mimi huwa nasikizaga watumishi wa Mungu na wala si wanaharakati wa Jinsia hata kama wako sensitivu kiasi gani.....:closed_2:
Kusikiliza maaskofu peke yao bila wanaharakati ni kutojitendea haki hasa katika kipindi hiki cha viongozi wetu wa dini kutokuwa waaminifu..aah natania tu!
kila anayependa angekubaliwa na kuoana na ampendaye dunia ingekuwa kama mbingu. Familia nyingi ziko kwenye mahusiano ya ndoa kwa kuwa wamekubaliana kuoana na siyo kwamba wanapendana sana. Ninachotaka kumwambia mtoa mada ni kuwa yule anayependa kwa thati hatakuwa tayari kuolewa naye, ataangukia kuoana na anayempenda sana ingawaje yeye hampendi kwa thati, lakini ili kwenda na umri maana lazima uoe au uolewe ukifika umri wa utu mzima itakuwa hivyo. Hata kama upendo haupo toka pande zote, mtaunganishwa na wato
Ahaaaa.... ndio maana hukuonekana??
Anyway, usiwe na hofu na huduma zetu, najitolea kukufanyia maombi Jumamosi na Jumapili, uje tu usiogope mpendwa..
[SIZE=3 said:Asprin[/SIZE];973804]Hahahahahaha! Nimekuzawadia hii
The Following User Says Thank You to Kaizer For This Useful Post:
Chrispin (Today)
Na red apple moja kwa hii yuzifuli posti.........................
Wakati mwingine Mungu hakupi kila unachohitaji, na huwa na sababu njema kwa hilo... kubali matokeo... wakati utafika na atapatikana mwengine aliewekwa kwa ajiliyo...hongera kwa ujasiri wa kuonesha nia njema kwake.. na hongera kwake kwa kuwa mkweli!!:A S-rose:
Mkeshahoi,
Wewe ni mtabiri? Ulimtabiria vizuri sana ndugu yetu GS. Huenda matamanio yake kwa huyo mtu aliyemdondokea yangefikiwa, huu mchakato wa kupata vikubwa zaidi ungempitia mbali sana.
...yeeap, lakini watu walivo wanafiki kwenye malavidavi, wacha GS aingie mjengoni....utamsikia huyo jamaa...oooh sorry nisamehe, was in love too but utoto tu sijui bla bla tuuuu.......aaah!
...yeeap, lakini watu walivo wanafiki kwenye malavidavi, wacha GS aingie mjengoni....utamsikia huyo jamaa...oooh sorry nisamehe, was in love too but utoto tu sijui bla bla tuuuu.......aaah!
...yeeap, lakini watu walivo wanafiki kwenye malavidavi, wacha GS aingie mjengoni....utamsikia huyo jamaa...oooh sorry nisamehe, was in love too but utoto tu sijui bla bla tuuuu.......aaah!
Next Level,
Sikuwa nimefikiria upande huu wa shilingi. Huenda akajilaumu kwa kupoteza fursa adimu.
Think big ...:A S 39: