Ninayetaka kumuoa ana mchepuko mwingine

Oa weka ndani hakuna mwanamke utapiga pekeyako mkuu cha muhimu msisitizie kinga
 
Kwa ujinga uliokujaa kichwani hata ukishauriwa utaelewa sasa? Endelea kulea mimba na watoto wa wanaume wenzako.

Nyie ndo wale mkifa maiti zinapigwa vipoko kabla ya kuzikwa kama faini ya ujinga
 
Kaka kwema? Nikikuita makalio nitakuwa nakukosea ndugu yangu?
 
Hamna shida we oa tu,Si unatafuta muuza mduka mwenye mkono wa Biashara!
 
Sasa Unataka Ishara gani Nyingine upewe Ili ujue Hatakuwa muaminifu hata Kwenye Ndoa? Hawa vijana wa .com mna laana gani?
 
Huyu tayari ana nuksi 2.
...ya kwanza ni singo mama. Wa nini sasa huyu sshakuwa mtumba bin scraper?
...ya pili ana miaka 25. Kila kitu kimeisha muda wake. Wa umri huu wanakuwaga hata hawana hamu ya mgegedo. Tupa kule takataka hii.
Hapa sexless ni MWANAUME...!!!

#YNWA
 
Kutokn na maelezo yako
Usiache mbachao kwa msala upitao....
 
Na pia nilipomuuliza kuhusu huyo MCHEPUKO alijotetea akasema ilikuwa ni chatting tu, coz ni mwanaume wake wa zamani sana ila hawajafanya chochote, na ameshamwambia kuwa yeye ni mchumba WA mtu hivyo hakuna kinacho endelea kati yao.
ni chatting tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
wa zamaniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
hawajafanya chochoteπŸ˜‚

KUMBE WAJINGA WAPO BADO...
HATA ASINGEKUA NA HUYO WA ZAMANI BADO BABA WA MTOTO WAKE ANAMKULA HEBU VUTA PICHA UMEZAA NA MTU ALAFU UNATUMA PESA KILA SIKU HUTAMLA???? ZIBUKA MASKIO UMEMPA MIMBA MKE WA MTU NA KAMA KWELI MIMBA NI YAKOπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mkuu kuna tofauti ya kasoro na umalaya elewa ilo
 
1. Usimuoe mwanamke kwa kumuonea huruma
2. Usimuoe mwanamke kwa kigezo cha kusaidiana majukumu hasa ya kipato.
Hakuna urafiki kati ya simba na swala, ni mwanaume wake wa zamani sana na hawajafanya kitu (kumbuka hata wake za watu huliwa kwasababu kigezo ni kugongana). Kuwa kwenye mahusiano halafu una mahusiano mengine ya nje ni kosa la jinai
 
Unavyoishi na mwanamke usitumie hisia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…