Ndugu yangu kwa mimi naendelea kuamini ili upate mke wa maisha yako mengi sana. Mke anapatikana kwa njia mbili tu nje ya hapo ni suala la muda tu ndoa inavunjika.
1: Mke mwema mtu anapewa na Mungu. Ili Mungu akupe mke hakikisha wewe unaishi maisha matakatifu ndipo unapata toka kwa Bwana. Mungu akikupa mke mtaishi milele.
2: Kama mahusiano ya mtu na Mungu sio mazuri asitegemee kupewa mke mwema na Mungu. Mtu wa hivyo anapaswa atafutiwe mke na wazazi wake. Wazazi wakisema oa binti huyu toka familia hii basi utaishi ndoa bora sana.
Nje ya hayo mawili watu wanaoana kufarijiana tu lakini hawadumu. Mke ambae Mungu wala wazazi hawajahusika kukupatia ujue imekula kwako ni suala la muda tu.