Umeona au umekuwa chooni ukiwa unakata gogo sio mtaa wa kigogo na upangaUongoo
Endelea Kulala Mkuu(1)Naona vurugu kila mahara hapa Tanzania,huku watu wakipambana na polisi
(2)Naona Vurugu kubwa kwenye miji ya Mbeya,Mwanza,Iringa Moshi,Mara na mingineyo
(3)Naona wale Viongozi waliokuwa wa Chedema wakiwa katika wakati mbaya kabisa nyumba zao zikichomwa moto
(4)Hali imekuwa ngumu ndani ya siku moja kila kitu hakieleweki watu wanajiuliza walikuwa wapi kuyazuia haya, Lawama zote wanatupiwa serikali lakini wao wanamtupia Tundu Lissu na CHADEMA
(5)Umoja wa Mataifa unaishinikiza Tanzania kuludia uchaguzi
(6)Hatimaye serikali imekubali masharti yote ya Chadema
(7)Uchaguzi umerudiwa ukiwa chini ya Tume huru uchaguzi
(8)Lissu ameshinda uchaguzi kwa asilimia 64 anakuwa Rais wa Tanzania
Anayeweza kujibu hivi ni kuwa wewe kama sio CCM basi ni mnufaika wa CCm.Lisu aliopolewa na mapolisi mbele ya kadamnasi kule Mbinga. Hiyo vurugu utaifanya chini ya uvungu. Tafakari😁
Vulugu uchaguzi ukiludiwa kila mahara kaanzie(1)Naona vurugu kila mahara hapa Tanzania,huku watu wakipambana na polisi
(2)Naona Vurugu kubwa kwenye miji ya Mbeya,Mwanza,Iringa Moshi,Mara na mingineyo
(3)Naona wale Viongozi waliokuwa wa Chedema wakiwa katika wakati mbaya kabisa nyumba zao zikichomwa moto
(4)Hali imekuwa ngumu ndani ya siku moja kila kitu hakieleweki watu wanajiuliza walikuwa wapi kuyazuia haya, Lawama zote wanatupiwa serikali lakini wao wanamtupia Tundu Lissu na CHADEMA
(5)Umoja wa Mataifa unaishinikiza Tanzania kuludia uchaguzi
(6)Hatimaye serikali imekubali masharti yote ya Chadema
(7)Uchaguzi umerudiwa ukiwa chini ya Tume huru uchaguzi
(8)Lissu ameshinda uchaguzi kwa asilimia 64 anakuwa Rais wa Tanzania
Labda jamaa alisafiri, kwa hiyo ndoto yake ameiotea South Sudan!😀😆 mm siipendi ccm ila unachkiona ni uongo hawa wakoloni wwusi wakubali kurudia uchaguzi 😀never
Nyi wacenge msiojua kuandika kiswahili mnatokea wapi!?(1)Naona vurugu kila mahara hapa Tanzania,huku watu wakipambana na polisi
(2)Naona Vurugu kubwa kwenye miji ya Mbeya,Mwanza,Iringa Moshi,Mara na mingineyo
(3)Naona wale Viongozi waliokuwa wa Chedema wakiwa katika wakati mbaya kabisa nyumba zao zikichomwa moto
(4)Hali imekuwa ngumu ndani ya siku moja kila kitu hakieleweki watu wanajiuliza walikuwa wapi kuyazuia haya, Lawama zote wanatupiwa serikali lakini wao wanamtupia Tundu Lissu na CHADEMA
(5)Umoja wa Mataifa unaishinikiza Tanzania kuludia uchaguzi
(6)Hatimaye serikali imekubali masharti yote ya Chadema
(7)Uchaguzi umerudiwa ukiwa chini ya Tume huru uchaguzi
(8)Lissu ameshinda uchaguzi kwa asilimia 64 anakuwa Rais wa Tanzania
Wageuze nini!?JWTZ na police ndio watafanya mageuzi kwenye nchi hii
Jamaa wa Simiyu nasikia nao wamebwaga manyanga wewe na Heche endeleeni kukaza fuvu😁Anayeweza kujibu hivi ni kuwa wewe kama sio CCM basi ni mnufaika wa CCm.
Pole pole anasema wahuni sio lazima kuonekana kama yule muigizaji wa joti baunsa wa matatuu
Mungu atufanyie wepesi(1)Naona vurugu kila mahara hapa Tanzania,huku watu wakipambana na polisi
(2)Naona Vurugu kubwa kwenye miji ya Mbeya,Mwanza,Iringa Moshi,Mara na mingineyo
(3)Naona wale Viongozi waliokuwa wa Chedema wakiwa katika wakati mbaya kabisa nyumba zao zikichomwa moto
(4)Hali imekuwa ngumu ndani ya siku moja kila kitu hakieleweki watu wanajiuliza walikuwa wapi kuyazuia haya, Lawama zote wanatupiwa serikali lakini wao wanamtupia Tundu Lissu na CHADEMA
(5)Umoja wa Mataifa unaishinikiza Tanzania kuludia uchaguzi
(6)Hatimaye serikali imekubali masharti yote ya Chadema
(7)Uchaguzi umerudiwa ukiwa chini ya Tume huru uchaguzi
(8)Lissu ameshinda uchaguzi kwa asilimia 64 anakuwa Rais wa Tanzania
Hata wajinga duniani waliletwa makusudi kutimiza idadi ya watu washiriki kama weweJamaa wa Simiyu nasikia nao wamebwaga manyanga wewe na Heche endeleeni kukaza fuvu😁