Ningefurahi sana kama Taifa Stars wangekuwa wanacheza kama Kongo

Ningefurahi sana kama Taifa Stars wangekuwa wanacheza kama Kongo

mbwewe

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2014
Posts
3,267
Reaction score
3,404
kwa wale ambao mmefuatilia game za congo drc nadhani kuna vitu vya kujifunza kwa wachezaji wao. kwanza kabisa wanajiamini hawana mapepe pia control imelala karibia wote, mchezaji wa kongo akipata mpira kwanza anakuwa mtulivu cyo km wachezaji wetu akipata mpira unakuwa km una moto jinsi anavyopatwa na wenge! wakiwa wanaenda kushambulia unaona kabsa wana mipango na sio wakurupukaji wanacheza kwa malengo na kila mchezaji anatimiza majukum yake jinsi anavyotakiwa pia licha ya wengi wao kuonekana umri umeenda lkn wana stamina sana cyo rahisi kuchukua mpira kizembe kwa wachezaji wa kikongo kwani karibia timu nzima wameshiba kitu cha mwisho tofauti na timu nyingi za afcon timu ya kongo licha ya kutumia mabavu vile vile wanatumia akili sana ......kwa yoyote ambaye anatka kuthibitisha hya aanze kuzifuatilia game za kongo kwa jicho la tatu atapata majibu ,binafsi naamini kongo anaweza kuibuka bingwa wa kombe hili
 
Kwa hakika wacongo wapo vizur manake kutoka nyuma kwa goli mbila kwa nunge mpaka kufunga goli 4 si kazi ya kitoto, wangekuwa wabongo ndio kwanza wangejikatia tamaa mapemaaa. Big up sana congo mbundalikasu, extra musica, congo Awilo longomba, congo pepekaleeeeee.
 
big up mkuu
 
Hiyo ilikuwa ni mara nyingine tena DRC kufanya jambo kama hilo...

Mwaka 1998 mechi ya mshindi wa tatu, DRC hadi dk ya 56 wakiwa nyuma ya goli 3 waliweza kurudi mchezoni na dk 90 gemu ikamalizika 4 - 4.

Baadaye wakamuua Burkinabe kwenye mikwaju ya penati 4 - 1...

Back
Top Bottom