Ningejua haya yote hata nisinge date na wewe

Ningejua haya yote hata nisinge date na wewe

Me too

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2015
Posts
7,388
Reaction score
9,333
yapata miezi miwili sasa rafiki yangu watengane na mchumba wake.

chanzo, mgogoro ulianza july mwaka jana mchumba wake alipoombwa waonane akadai yuko bize, akamfata mkoa alipo ili waonane mchumba wake alimjibu yuko bize anatafta hela kwasasa, alipo lalamika sana na kudai kama kapata mpenzi mwingine amwambie ili ajue mapema, mchumba wake alipoona anamsumbua sanaa,
jibu alilompaa ni msg fupi tu



()ningejua haya yote nisinge date na wewe()


kiufupi inaonesha mwanaume kachoshwa na malalamiko ya kutaka waonane.

kwa lugha nyepesi bwana huyu kamchoka msichana na hakuwa na malengo naye. nimemshauri amwache apumzike kwanza awaze makosa yake ndio amuaccept mchumba mwingine atakaye tokea mbeleni ila kwa huyu wa zamani asirudi coz tangu msg ya mwisho aambiwe vile mlalamikiwa hajamtafta tena toka nov 2021.


wakuu kama mnavojua wapendanao wakigombanana siku wakipatana mimi kama mshauri wa best angu nimekosea jambo hapo ushauri niliompa ni sahihi?



karibuni.
 
Katengana na mchumba au rafiki wa kiume tu waliyekuwa wanabanjuana?

Kama ni mchumba hiyo kazi ya kuwapatanisha iache kwa washenga, kiherere kitakuponza...
wachumba hata hawa jatambulika hadhalani
 
Nafikiri huyo ni wewe si ndio?, na ushafanya hayo maamuzi,, na unataka public opinions...

Ok, umeshauri vizuri tu... Lakini Mapenzi ni ugonjwa wa akili...

Acha watu wapiganie penzi hadi mwisho... ndio watapona.
 
Back
Top Bottom