Ningejua haya yote hata nisinge date na wewe

Ningejua haya yote hata nisinge date na wewe

Nafikiri huyo ni wewe si ndio?, na ushafanya hayo maamuzi,, na unataka public opinions...

Ok, umeshauri vizuri tu... Lakini Mapenzi ni ugonjwa wa akili...

Acha watu wapiganie penzi hadi mwisho... ndio watapona.
😁😁 mkuu mimi yangu yanakuwaga wazi tu hata sijifichagi,

ok nafurahi kuwa sijashauri vibaya
 
hapendwi, na huyo mwanaume ana mahusiano yake inshot atafute maisha mapya asipokubali akubali kuwa mtumwa.
 
Sema MAHUSIANO huwaga magumu sana na hata hayaeleweke.. hivi u-date na wanawake/wanaume wangapi? Ndio upate mtu sahihi wa kuishi nae kama mwanandoa na NDOA kiujumla.. unakuta wengine wanapata bahati mtu wake wa kwanza au wapili na ndoa juu na wanapendana hatari.. sasa wenzangu na mie kama daladala mpaka unachoka mwili na akili kama unajiuza daah MAHUSIANO hata yananichanganyaga tu
 
Pole sana achana nae huyoo mamii, halafu msipende kusakiziawatu wakati ni ninyi wenyewe
 
Back
Top Bottom