Ningejua mapema nisingesoma advanced secondary education, it is completely a wastage of time and resources

Kama wote mnaishia kwenda kuchukua Gamba basi uwezekano ni mkubwa zaidi kwa yule anaepitia Advance kupata gamba kwa muda mfupi na kwa gharama chache zaidi.
hapana Kaka
labda nikueleweshe jambo Moja

endapo ukiwa techinician Basi degree hutoisotea kwa miaka mi 4 Bali itakuwa mi 3.

Kama ukimaliza diploma ukasema uunge na degree Moja kwa moja
in maana utamaliza sawa na wenzako, ambao ulisoma nao o level. na wao wakaenda advance!

lakini huwa tunapendaga kwenda kazini kwa sababu gani ujue?!

katika kada ya uinjinia,watu ambao wanasoko na wanasemekana Wana moral ya kazi Ni Hawa wa diploma ambao huwa ma technician tofauti na ambao wamemaliza KABISA degree.
then ma injinia wenye soko now Daz Ni wale ambao walianza kuwa ma technician (diploma) then badae wakaenda kusoma na kuwa full engineer (degree)

u know why?! injinia aliyepitia diploma yupo more advanced na ana skills na knowledge nyingi kuliko huyo wa 4m 6!

then,endapo ukasoma diploma afu ukaenda kazini, possible
Kama utaenda kusoma mbeleni ofisi itakusomesha (kwa,watu walio serikalini)
.au inaweza isikusomeshe bt mshahara ukawa pale pale

lakini Kama ukiwa ndani ya kampuni na ukaenda kusoma,nafasi yako hutunzwa na unapomaliza unaendelezea

hahahaha acheni kukaririshwa kuhusu advance Level ndugu zangu
 
Mkuu mimi mwakani naingia diploma ya afya miaka mi3 alafu najichanganya mbele kwa mbele huko.
Advance PCB nimeona ntajitia shughuli tu.
 
YAAAH nayo Ni sahihi Kaka.
Tena bahati Mbaya AMO naona now wameifuta!

unapiga zako C O kwa miaka 3.then baada ya hapo unaenda zako jobe hata kwa miaka 5/3 then
unatafuta channel za kwenda Md au kada yeyote ya Afya utakayoipenda!

Tena kwa watu wa Afya Ni njia Safi na salama
maana kwa msuli wa PCB hapo yakupaswa u make sure una point 3-5 ndiyo utaona uwezekano wa kuwa md..

nilichokiona watu wengi huwa wanapoteza muda kwa kuzungukia kitu kile kile.

Tena uzuri wake,unamaliza ukiwa mdogo na mapema Sanaa so,Kama kijana unaweza kupata maisha ukiwa mdogo Sanaa
.kwa mfano Mimi
nilimalizaga FTC (Enzi hizo inaitwa hivyo,Ni diploma technician)
nikiwa na umri wa miaka 20! TU
na Enzi zetu,ilikuwa ukimaliza TU
unakuta kampuni na kada za serikali zinapiga hodi KWAKO
 
SERIKALI YAPIGA MARUFUKU KUSOMA "DEGREE" BILA KUPITA "FORM SIX".

Waziri wa Elimu na mafunzo ya ufundi Pro.Joyce Ndalichako amepiga marufuku wanafunzi kujiunga na masomo ya Shahada (degree) bila kupita kidato cha sita. Marufuku hiyo itaanza rasmi katika mwaka ujao wa masomo. Prof.Ndalichako emesema mfumo wa elimu huria umechangia kuzalisha wasomi butu kwa kupokea wanafunzi dhaifu kitaaluma.

Ndalichako amesema wanafunzi wanaofeli kidato cha nne na kwenda kusoma certificate na baadae diploma ili wajiunge vyuo vikuu hawataruhusiwa kujiunga na masomo ya shahada (degree) kama hawajarudia (reseat) masomo yao na kupata alama za kwenda kidato cha tano, na wafanye mitihani ya kidato cha sita na kufaulu ndipo wajiunge vyuo vikuu.

Katika utaratibu huo, wanafunzi wa kidato cha nne watakaoruhusiwa kusoma shahada (degree) bila kupita kidato cha 5 na 6 ni wale waliofaulu kidato cha 4 na wakachaguliwa kwenda kusoma katika vyuo vya ufundi daraja la kati (Technicians). Lakini wale wanaokosa "credit" za kuendelea form five na kuamua kwenda certificate mwisho wao utakuwa diploma.

Kuhusu "foundation courses" kwa wanafunzi wa kidato cha sita walioshindwa kupata sifa za kusoma degree, Ndalichako amesema Foundation course haimuongezei mtu sifa.

"Kama mtu amemaliza kidato cha 6 akashindwa kufikisha "points" za kujiunga chuo kikuu, asidahiliwe kwa kusoma foundatiom course. Anapaswa kurudia mtihani wa kidato cha 6 kwa sababu baraza la mitihani linatoa fursa ya kurudia mara nyingi iwezekanavyo. Foundation course haimuongezei mtu sifa kama hana sifa zinazotakiwa kitaaluma" Amesisitiza Ndalichako.

Unaweza kumsikiliza zaidi hapa:

Sent using Jamii Forums mobile app
 
YAAAH nayo Ni sahihi Kaka.
Tena bahati Mbaya AMO naona now wameifuta!

unapiga zako C O kwa miaka 3.then baada ya hapo unaenda zako jobe hata kwa miaka 5/3 then
unatafuta channel za kwenda Md au kada yeyote ya Afya utakayoipenda!

Tena kwa watu wa Afya Ni njia Safi na salama
maana kwa msuli wa PCB hapo yakupaswa u make sure una point 3-5 ndiyo utaona uwezekano wa kuwa md..

nilichokiona watu wengi huwa wanapoteza muda kwa kuzungukia kitu kile kile.

Tena uzuri wake,unamaliza ukiwa mdogo na mapema Sanaa so,Kama kijana unaweza kupata maisha ukiwa mdogo Sanaa
.kwa mfano Mimi
nilimalizaga FTC (Enzi hizo inaitwa hivyo,Ni diploma technician)
nikiwa na umri wa miaka 20! TU
na Enzi zetu,ilikuwa ukimaliza TU
unakuta kampuni na kada za serikali zinapiga hodi KWAKO
Ma huyu alopiga marufuku vipi mkuu
 
endapo ukiwa techinician Basi degree hutoisotea kwa miaka mi 4 Bali itakuwa mi 3.

Kama ukimaliza diploma ukasema uunge na degree Moja kwa moja
in maana utamaliza sawa na wenzako, ambao ulisoma nao o level. na wao wakaenda advance!
Mkuu hii kwa sasa haipo, ukiingia degree na diploma yako inabidi uchukue miaka yote iiyopangwa kwa degree hiyo.

hahahaha acheni kukaririshwa kuhusu advance Level ndugu zangu
Bado hiko ulicho quote kiko sawa. Kama unachukua gamba njia fupi ni kupitia F6. Hii haina maana kupitia Diploma hakuna faida zake-bali unatakiwa ujitathmini mazingira yako halafu uamue njia sahihi ya kupita kutokana na malengo yako.
 
SERIKALI YAPIGA MARUFUKU KUSOMA "DEGREE" BILA KUPITA "FORM SIX".

Waziri wa Elimu na mafunzo ya ufundi Pro.Joyce Ndalichako amepiga marufuku wanafunzi kujiunga na masomo ya Shahada (degree) bila kupita kidato cha sita. Marufuku hiyo itaanza rasmi katika mwaka ujao wa masomo. Prof.Ndalichako emesema mfumo wa elimu huria umechangia kuzalisha wasomi butu kwa kupokea wanafunzi dhaifu kitaaluma.
Taarifa hii imepitwa na wakati na si sahihi. Njia zote ziko wazi kwa mtukupitia na kuishia kusoma degree. Walichofanya ni kuzuia kuchukua foundation kwa kutegemea ufaulu wa F4 (ingawa foundation imeruhusiwa kwa wale wenye vigezo). Ukipata ufaulu wa kutosha F4 kutegemea na chuo unafanya diploma na ukipata gpa ya 3(degree zisizo za afya) au 3.5 (degree za afya) una kigezo cha kudahiliwa degree. Angalizo ni kuwa kuna vyuo kama UDSM wanataka GPA ya 3.5 kwa degree zisizo za afya. Jambo la msingi nikuangalia TCU Admission Guide kwa umakini-kuna wenye D4 wanadahiliwa baada ya kupiga GPA ya 3, kuna degree nyingine hawachukui wanataka ufaulu ambao ni sawa na ule wa kwenda F5 + GPA ya 3.
 
ahhaha
nilisanuka mapema
nilichagua technical college
nikaenda zangu
ile natoka tu, na kazi hapo hapo ya 2 mill per month

Baada ya miaka mi 3 ya kazi
nikaenda zangu south kuchukua degree

ile narudi bongo
nuksi hiyo imeingia (jiwe).

hapa.nafikiria kwenda HAVARD au Caltech kupiga masters

all in all kila mtu ana njia zake za kutoboaa

japo wale walioenda advance wengi wemeishia kushika chaki
na wengine mpaka leo wanadaiwa 13% ya heslb

wakati huo c e Ni mwendo wa kitonga tu
kwahiyo kazi kwako ni kuajiriwa tu??
 
Mkuu hii kwa sasa haipo, ukiingia degree na diploma yako inabidi uchukue miaka yote iiyopangwa kwa degree hiyo.

Bado hiko ulicho quote kiko sawa. Kama unachukua gamba njia fupi ni kupitia F6. Hii haina maana kupitia Diploma hakuna faida zake-bali unatakiwa ujitathmini mazingira yako halafu uamue njia sahihi ya kupita kutokana na malengo yako.
Mkuu mfano mimi nina weza kwenda advance PCB kwa credit zangu lakini private na nipo kibaruani ndo kinanipatia pesa ya kula na ya kujisomesha.alafu ndoto zangu kuwa docta aisee.

Sasa mkuu kwa mazingira yangu bora nipige five six au niende diploma tuu mkuu?
 
Swala hapo ni kibarua gani unafanya, je wanaweza kukuruhusu uende diploma bila kukata mshahara?
 
Huku nilipo zenji mkuu,naweza ongea na boss nikaenda chuo then nikirudi ndo napiga kibarua boss hana noma anajua umuhimu wa elimu.
 
kwahiyo kazi kwako ni kuajiriwa tu??
Mkuu kila mtu ana plan na malengo yake..

binafsi nilichagua kuajiriwa ili nipate mpenyo wa kusomeshwa bure

na kwa taarifa yako
baada ya kuchaguliwa chuo nikawa under government sponsor
so gharama karibia zote zikawa za serikali
na nimemaliza ukiwa sponsor hurudishi hata 10.

nimeingia kazini nimepelekwa south kusoma BUREEEE HATA 10 SIJATOA
na mshahara nikagonga Kama kawa

hapa naona kuna fursa za kwenda USA kusoma,nataka nikapige Masters bureeeee

baada ya hapo,nawafanyia uhuni na achana na ofisi za serikali ndiyo nitafanya Kama mawazo yako.

Nilikuwa na muhuni wangu Enzi tunasoma yeye alikuwa na ndoto za kuwa rubani. alichofanya wale majamaa hawana hamu naye baada kuingia Jkt akabaki kule akaenda mafunzo ya ndege Vita
kapiga wewee baada ya miaka 10 akataka kuacha kazi afanye yake na ukiona cheti kina mruhusu!!

hahahaha ujanja wa siku hizi ndiyo Huu kijana!!!!

binafsi najua siwezi kujilipia gharama za kwenda USA kubeba Master ngoja wajiroge nikienda,nikirudi nawapigia show kwa miaka mi 4 then nasanukaaaa

tafuta knowledge then sanukaaaaa ndiyo ujanja huooo
 
Mkuu hii kwa sasa haipo, ukiingia degree na diploma yako inabidi uchukue miaka yote iiyopangwa kwa degree hiyo.

Bado hiko ulicho quote kiko sawa. Kama unachukua gamba njia fupi ni kupitia F6. Hii haina maana kupitia Diploma hakuna faida zake-bali unatakiwa ujitathmini mazingira yako halafu uamue njia sahihi ya kupita kutokana na malengo yako.
Mkuu
labda kwa sasa hivi miaka ya magufuli
lakini Enzi zetu ilikuwa hivyo!

lakini kuna watu mbona wamepata admission DIT kwa punguzo la Mwaka 1??!

Anyway diploma kwangu itabaki kuwa the best.endapo
utapiga na kupata fungu la ajira ya UHAKIKA!!!

Raha ya diploma
unaweza beba civil engineer
then Gamba ukanyakua la mechanical

hapo unakuwa 2 in 1.

6 ina ku limit
 
Mkuu ili uwe sponsor wa seriksli unatimiza vigezo gani mkuu?
Mkuu kila mtu ana plan na malengo yake..

binafsi nilichagua kuajiriwa ili nipate mpenyo wa kusomeshwa bure

na kwa taarifa yako
baada ya kuchaguliwa chuo nikawa under government sponsor
so gharama karibia zote zikawa za serikali
na nimemaliza ukiwa sponsor hurudishi hata 10.

nimeingia kazini nimepelekwa south kusoma BUREEEE HATA 10 SIJATOA
na mshahara nikagonga Kama kawa

hapa naona kuna fursa za kwenda USA kusoma,nataka nikapige Masters bureeeee

baada ya hapo,nawafanyia uhuni na achana na ofisi za serikali ndiyo nitafanya Kama mawazo yako.

Nilikuwa na muhuni wangu Enzi tunasoma yeye alikuwa na ndoto za kuwa rubani. alichofanya wale majamaa hawana hamu naye baada kuingia Jkt akabaki kule akaenda mafunzo ya ndege Vita
kapiga wewee baada ya miaka 10 akataka kuacha kazi afanye yake na ukiona cheti kina mruhusu!!

hahahaha ujanja wa siku hizi ndiyo Huu kijana!!!!

binafsi najua siwezi kujilipia gharama za kwenda USA kubeba Master ngoja wajiroge nikienda,nikirudi nawapigia show kwa miaka mi 4 then nasanukaaaa

tafuta knowledge then sanukaaaaa ndiyo ujanja huooo
 
Mkuu ili uwe sponsor wa seriksli unatimiza vigezo gani mkuu?
duh kaka mkubwa,sijajua kwa taratibu za siku hizi!

Enzi zetu ilikuwa
Kama ukichaguliwa kwenda vyuo vya ufundi kusoma
I.e
DIT
ATC
MIST
Chuo Cha Maji.

Basi hapo, ulikuwa unakuwa sponsor by government
ko,gharama zote za chuo kulikuwa na mkono wa serikali
kuanzia ada Hadi chakula na field

mfano kwa DIT now
ukiwa sponsor ada badala ya kulipa 1million na ushee kwa sponsor yeye atalipa Kaka lakini 3 hivi haizid laki 4
kwa mwaka

then kuhusu
accommodation and meal
atapewa bureee
yaani chakula na malazi hatolipia
na ikatokea akaenda field gharama za huko huwa juu ya serikali na upewa pesa ya field

chuo kingine nachosikia Cha Maji
Enzi zetu wao walikuwa wanapewa pesa ya kula kila mwisho wa mwezi.
SIjajua kama wameongezewa au ile ile..

Tena hizo gharama c mkopo Wala Nini Ni za buree KABISA!!

na kipindi chetu,ulikuwa ukimaliza TU!
makampuni na taasisi za serikali zinakuja kukufatata

lakini mkuu SIjajua kwa miaka ya hivi karibuni
 
Mkuu kila mtu ana plan na malengo yake..

binafsi nilichagua kuajiriwa ili nipate mpenyo wa kusomeshwa bure

na kwa taarifa yako
baada ya kuchaguliwa chuo nikawa under government sponsor
so gharama karibia zote zikawa za serikali
na nimemaliza ukiwa sponsor hurudishi hata 10.

nimeingia kazini nimepelekwa south kusoma BUREEEE HATA 10 SIJATOA
na mshahara nikagonga Kama kawa

hapa naona kuna fursa za kwenda USA kusoma,nataka nikapige Masters bureeeee

baada ya hapo,nawafanyia uhuni na achana na ofisi za serikali ndiyo nitafanya Kama mawazo yako.

Nilikuwa na muhuni wangu Enzi tunasoma yeye alikuwa na ndoto za kuwa rubani. alichofanya wale majamaa hawana hamu naye baada kuingia Jkt akabaki kule akaenda mafunzo ya ndege Vita
kapiga wewee baada ya miaka 10 akataka kuacha kazi afanye yake na ukiona cheti kina mruhusu!!

hahahaha ujanja wa siku hizi ndiyo Huu kijana!!!!

binafsi najua siwezi kujilipia gharama za kwenda USA kubeba Master ngoja wajiroge nikienda,nikirudi nawapigia show kwa miaka mi 4 then nasanukaaaa

tafuta knowledge then sanukaaaaa ndiyo ujanja huooo[/QUOTE

ingekuwa masters za usa unaenda tu kirahisi rahisi serikalini asingebaki mtu.. wala hakuna ambaye angesoma vyuo vyetu vya kata au korea.. usa masters unaenda on merit... yaani wakupe wao wenyewe... na hadi wakupe lazima uwe zaidi ya muajiriwa wa uma..
 
duh kaka mkubwa,sijajua kwa taratibu za siku hizi!

Enzi zetu ilikuwa
Kama ukichaguliwa kwenda vyuo vya ufundi kusoma
I.e
DIT
ATC
MIST
Chuo Cha Maji.

Basi hapo, ulikuwa unakuwa sponsor by government
ko,gharama zote za chuo kulikuwa na mkono wa serikali
kuanzia ada Hadi chakula na field

mfano kwa DIT now
ukiwa sponsor ada badala ya kulipa 1million na ushee kwa sponsor yeye atalipa Kaka lakini 3 hivi haizid laki 4
kwa mwaka

then kuhusu
accommodation and meal
atapewa bureee
yaani chakula na malazi hatolipia
na ikatokea akaenda field gharama za huko huwa juu ya serikali na upewa pesa ya field

chuo kingine nachosikia Cha Maji
Enzi zetu wao walikuwa wanapewa pesa ya kula kila mwisho wa mwezi.
SIjajua kama wameongezewa au ile ile..

Tena hizo gharama c mkopo Wala Nini Ni za buree KABISA!!

na kipindi chetu,ulikuwa ukimaliza TU!
makampuni na taasisi za serikali zinakuja kukufatata

lakini mkuu SIjajua kwa miaka ya hivi karibuni
Na kwa kada za afya mkuu naweza kuwa sponsored by the government?
 
Mmh! Kada za Afya unapambana. a Hali yako!

Kuna kipindi fulani,kwenye vyuo vya serikali vya afya
I.e
Kibaha college
Mtwara Tech
Kulikuwa na program Moja hivi

Lakini.Nasikia siku hizi Imesitishwa!!
HAIPO TENA!

Ki,Ufupi uhakika wa kuwa
sponsor wa serikali Ni
Endapo Utachaguliwa
Technical college ile baada ya kumaliza 4m 4 ukachaguliwa directly
Kwenda kusoma!

Ambavyo hivyo vyuo Ni vi 4 TU!!
DIT
Mist
ATC. Na
Chuo Cha maji

Juzi nimeanza kuona Tena,watu wakipangwa vyuo wenye 3 za mwanzo na mwishoni lakini
gharama huwa za wanafunzi wenyewe c za ki serikali
 
Sijui tunashindwa kuelewana wapi!
Ina maana unanionea wivu au?!

Au hizi I'd za Jf Zina kuzuzua?

kwani unadhani hiyo sifa Sina??

au unataka nimwage identification yangu?!

Wabongo bhnaaa!
Hayo yote unayosema
nayajua na nayaelewa
na ndiyo maaan nikasema

navizia tour ya USA kusoma
kwani mwanzo nilivyoenda South ilikuaje?!

Haya maisha Kaka ,kila mtu ana njia zake za kutoboa

Nawap Pole Sana walionda 6
 
Back
Top Bottom