Inferior Complex
JF-Expert Member
- Oct 17, 2014
- 3,655
- 5,023
hapana KakaKama wote mnaishia kwenda kuchukua Gamba basi uwezekano ni mkubwa zaidi kwa yule anaepitia Advance kupata gamba kwa muda mfupi na kwa gharama chache zaidi.
labda nikueleweshe jambo Moja
endapo ukiwa techinician Basi degree hutoisotea kwa miaka mi 4 Bali itakuwa mi 3.
Kama ukimaliza diploma ukasema uunge na degree Moja kwa moja
in maana utamaliza sawa na wenzako, ambao ulisoma nao o level. na wao wakaenda advance!
lakini huwa tunapendaga kwenda kazini kwa sababu gani ujue?!
katika kada ya uinjinia,watu ambao wanasoko na wanasemekana Wana moral ya kazi Ni Hawa wa diploma ambao huwa ma technician tofauti na ambao wamemaliza KABISA degree.
then ma injinia wenye soko now Daz Ni wale ambao walianza kuwa ma technician (diploma) then badae wakaenda kusoma na kuwa full engineer (degree)
u know why?! injinia aliyepitia diploma yupo more advanced na ana skills na knowledge nyingi kuliko huyo wa 4m 6!
then,endapo ukasoma diploma afu ukaenda kazini, possible
Kama utaenda kusoma mbeleni ofisi itakusomesha (kwa,watu walio serikalini)
.au inaweza isikusomeshe bt mshahara ukawa pale pale
lakini Kama ukiwa ndani ya kampuni na ukaenda kusoma,nafasi yako hutunzwa na unapomaliza unaendelezea
hahahaha acheni kukaririshwa kuhusu advance Level ndugu zangu