Ningejua mapema nisingesoma advanced secondary education, it is completely a wastage of time and resources

Ulikimbilia kushika nafasi ya kazi.., ngazi ya certificate au diploma serikalini ngazi na kiwanco Cha mshahara ni kama utani!

Nashukuru Mungu nililiona hili nilipomaliza form 4 nikaenda college nikamaliza nikapata kazi mapema nawaza kuendelea sasa na ngazi nyingine


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miaka mitatu ni kama tunaendelea kwenye vyuo cha ufundi hivo hivo kama DIT.Ila ukienda chuo kama UDSM utapiga miaka minne.Alafu mimi naona waliopitia diploma degree huwa wanateseka sana kwa chuo kama UDSM.
 
Mie niseme asante kwa kuzingatia mstari wa mwisho hapo.
Ila nina mpango wa kuanza upya wa kwenda technical college.

SUKAH...
 
Mimi Nimezungusha Zero O-level na nikaona wazi kuwa Sikuwa na uwezo wa Kusoma na Nikaamua Kujiajiri ndiyomana Ninaona hata anayeishia O-Level anapoteza muda coz ukishamaliza chuo unaishia kutembea na Bahasha tu bila ya ajira
 
Hapana inategemea a level ulisoma nn,mimi a level nilisoma pcb kisha nikaenda chuo diploma nikasoma horticulture ila kuna tofauti kubwa baina ya muhitimu alietokea form four akaenda cheti kisha dip na yule alietoka form six akaenda dip. Elimu ya advance inafungua sana akili na unaelewa mambo kiundani pia kumbuka inakupa nafasi ya kuanza na dip au degree wakati form four anaanza na cheti.
Jiulize wangapi form four wameenda cheti na wamefeli???
Ukisoma six una uwanja mpana sana division yangu 3 ya Alevel ningeweza kwenda degree ila nilitaka haswa kilimo ambapo sua wangenisumbua kunipokea. Usijutie maamuzi yako kamwe
 
Mie niseme asante kwa kuzingatia mstari wa mwisho hapo.
Ila nina mpango wa kuanza upya wa kwenda technical college.

SUKAH...
karibu mkuu
unaenda kwa kutokea 6 au 4?!

kama unatokea 6 au 4 kwa kujipeleka zile allowance hazikuhusu

Kama ndiyo umemaliza
4 na mwezi wa 7 ukapangwa technical college Basi Kaka hapo zile allowance zitakuhusu..

Karibu Technical College
huku Ni mwendo wa skills& knowledge
 
Miaka mitatu ni kama tunaendelea kwenye vyuo cha ufundi hivo hivo kama DIT.Ila ukienda chuo kama UDSM utapiga miaka minne.Alafu mimi naona waliopitia diploma degree huwa wanateseka sana kwa chuo kama UDSM.
Kwa udsm utapiga mi 4 lakini kwa vyuo vingine huwa mi 3

hata ukiwa DIT utapiga mi 3 lakini ukienda maji unasotea mi 4!!!

Diploma hataseki degree


kinachomtesa labda Ni hesabu TU kwa kada za uhandisi lakini kwenye modules zingine huwa ana petaa
 
Asante sana, najipeleka mwenyewe kaka.

O'level nlisoma technical school, sijui kichaa gani kikanipanda nkaenda advance.

Nipo kazini kwa sasa ila sina aman kabisa, naiwazia engineering tu.

Mbaya zaidi nlisoma EGM japo sifa za PCM nlikuwa nazo. Tatizo EGM hainipi favor kwenye engineering kwa level ya bachelor.

SUKAH...
 
Hivi kama ulipitia Advance na ukafaulu kwa combination uliyoipenda kuna nini cha kujutia?. Mimi sijutii hata kidogo kusoma Advance, kwa kozi niliyosoma wale waliotoka diploma (ambao hawakusoma A level ) walikua wanapata tabu sana kwenye kusoma.

Mtu anayepaswa kujutia ni yule aliyefeli kwa sababu Ile miaka miwili anakua kama aliipoteza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Hapo mwishoni nimepapenda.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli kabisa,tena pangekua na kozi za Mambo ya ufundi kama yatolewayo na VETA hata miezi sita tu na hiyo iwe ni katika mfumo wa elimu ya O'level.Ukitoka hapo ndo uchague pa kwenda.
Hata O level warekebishe mwanafunzi akimaliza form 4 angalau awe anajua kufunga nyaya za umeme au kufungua bolt kwenye engine

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeongea vizuri lakini kuna kazi bila form ,6 utakosa opportunities nyingi. Kila kitu kina faida na hasara zake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…