carcinoma
JF-Expert Member
- Mar 5, 2017
- 5,059
- 13,771
Hio div uliipata kwanza??Div 1 ya masomo gani ??
Pata hata ONE YA 3, Utarudi kuendesha guta tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hio div uliipata kwanza??Div 1 ya masomo gani ??
Pata hata ONE YA 3, Utarudi kuendesha guta tu.
Na anachoshindwa kujua ni kwamba KUTAGA YAI NDANI YA CHUMBA CHA MTIHANI sio dhambi bali dhambi ni KUTAGA MAYAI NJE YA CHUMBA CHA MTIHANI NA KUKATA TAMAA.Wewe lazima form six ulizungusha sio bure!!
Maliza kwanza shule, utoto unakusumbua.
Mliopata 0 mna shida sana aiseehMaliza kwanza shule, utoto unakusumbua.
Maliza shule uje mtaani waliopata zero wakupe pesa ya vocha.
Tena mliopata ziro kutwa kulalamika kama vile sisi ndio tuliwatuma mlale wakati wa vipindiMaliza shule uje mtaani waliopata zero wakupe pesa ya vocha.
Nashukuru Mungu nililiona hili nilipomaliza form 4 nikaenda college nikamaliza nikapata kazi mapema nawaza kuendelea sasa na ngazi nyingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Miaka mitatu ni kama tunaendelea kwenye vyuo cha ufundi hivo hivo kama DIT.Ila ukienda chuo kama UDSM utapiga miaka minne.Alafu mimi naona waliopitia diploma degree huwa wanateseka sana kwa chuo kama UDSM.hapana Kaka
labda nikueleweshe jambo Moja
endapo ukiwa techinician Basi degree hutoisotea kwa miaka mi 4 Bali itakuwa mi 3.
Kama ukimaliza diploma ukasema uunge na degree Moja kwa moja
in maana utamaliza sawa na wenzako, ambao ulisoma nao o level. na wao wakaenda advance!
lakini huwa tunapendaga kwenda kazini kwa sababu gani ujue?!
katika kada ya uinjinia,watu ambao wanasoko na wanasemekana Wana moral ya kazi Ni Hawa wa diploma ambao huwa ma technician tofauti na ambao wamemaliza KABISA degree.
then ma injinia wenye soko now Daz Ni wale ambao walianza kuwa ma technician (diploma) then badae wakaenda kusoma na kuwa full engineer (degree)
u know why?! injinia aliyepitia diploma yupo more advanced na ana skills na knowledge nyingi kuliko huyo wa 4m 6!
then,endapo ukasoma diploma afu ukaenda kazini, possible
Kama utaenda kusoma mbeleni ofisi itakusomesha (kwa,watu walio serikalini)
.au inaweza isikusomeshe bt mshahara ukawa pale pale
lakini Kama ukiwa ndani ya kampuni na ukaenda kusoma,nafasi yako hutunzwa na unapomaliza unaendelezea
hahahaha acheni kukaririshwa kuhusu advance Level ndugu zangu
Mie niseme asante kwa kuzingatia mstari wa mwisho hapo.Sijui tunashindwa kuelewana wapi!
Ina maana unanionea wivu au?!
Au hizi I'd za Jf Zina kuzuzua?
kwani unadhani hiyo sifa Sina??
au unataka nimwage identification yangu?!
Wabongo bhnaaa!
Hayo yote unayosema
nayajua na nayaelewa
na ndiyo maaan nikasema
navizia tour ya USA kusoma
kwani mwanzo nilivyoenda South ilikuaje?!
Haya maisha Kaka ,kila mtu ana njia zake za kutoboa
Nawap Pole Sana walionda 6
karibu mkuuMie niseme asante kwa kuzingatia mstari wa mwisho hapo.
Ila nina mpango wa kuanza upya wa kwenda technical college.
SUKAH...
Kwa udsm utapiga mi 4 lakini kwa vyuo vingine huwa mi 3Miaka mitatu ni kama tunaendelea kwenye vyuo cha ufundi hivo hivo kama DIT.Ila ukienda chuo kama UDSM utapiga miaka minne.Alafu mimi naona waliopitia diploma degree huwa wanateseka sana kwa chuo kama UDSM.
Asante sana, najipeleka mwenyewe kaka.karibu mkuu
unaenda kwa kutokea 6 au 4?!
kama unatokea 6 au 4 kwa kujipeleka zile allowance hazikuhusu
Kama ndiyo umemaliza
4 na mwezi wa 7 ukapangwa technical college Basi Kaka hapo zile allowance zitakuhusu..
Karibu Technical College
huku Ni mwendo wa skills& knowledge
Nashangaa
madogo wanapambana kwenda advance then baada ya miaka mi 2 wanaanza Tena stage Nyingine
unakuta mtu anaenda kusoma
Pcm miaka mi 2
then baada ya hapo,anaenda chuo let's say kafaulu vizuri anasoma 4yrs kuwa injinia
baada ya hapo,anaanza kupambana na soko
wakati
angeenda zake college
akapiga let's say civil 3 yrs
so,wenzake wakiwa first year yeye ndo anamaliza chuo!
hapo anaenda zake kupiga kazi,
kwa 3 yrs then anaenda zake kuchukua Gamba
Tena akiwa ndani ya system
hii formula ni nzuri Sana
lakini,tuache UNAFIKI.
College Ni pa Gumu Sanaa kwa mtu wa O Level
Hata O level warekebishe mwanafunzi akimaliza form 4 angalau awe anajua kufunga nyaya za umeme au kufungua bolt kwenye engine
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea vizuri lakini kuna kazi bila form ,6 utakosa opportunities nyingi. Kila kitu kina faida na hasara zakeahhaha
nilisanuka mapema
nilichagua technical college
nikaenda zangu
ile natoka tu, na kazi hapo hapo ya 2 mill per month
Baada ya miaka mi 3 ya kazi
nikaenda zangu south kuchukua degree
ile narudi bongo
nuksi hiyo imeingia (jiwe).
hapa.nafikiria kwenda HAVARD au Caltech kupiga masters
all in all kila mtu ana njia zake za kutoboaa
japo wale walioenda advance wengi wemeishia kushika chaki
na wengine mpaka leo wanadaiwa 13% ya heslb
wakati huo c e Ni mwendo wa kitonga tu