Ningejua mapema nisingesoma advanced secondary education, it is completely a wastage of time and resources

Kushika chaki sio utumwa. Kuna watu wanaendesha maisha yao na ya ndugu zao kwa chaki hizo hizo unayoidharau. Mfano si unaona unavyotaabika na degree yako ya amazon college/data star ya south.....just kidding

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama umefeli usilaumu, kicha yako kutoshika ni tatizo lako
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kushika chaki sio utumwa. Kuna watu wanaendesha maisha yao na ya ndugu zao kwa chaki hizo hizo unayoidharau. Mfano si unaona unavyotaabika na degree yako ya amazon college/data star ya south.....just kidding

Sent using Jamii Forums mobile app
ahahhh sorry mwalimu!!

Sema walimu na nyie mnazingua mno
Ni kada ambayo inadharaulika na Kama huna akili za kujiongeza,Basi unaweza maisha yako yote ukadumaa!

halafu mkuu,
nimesoma
DIT then Gamba nimechukuo Huko Durban
Nipo njema
.hapa navizia HAVARD au Caltech

Haya Mambo kwa mwalimu HAWEZI yafikira
 
Mimi Nimezungusha Zero O-level na nikaona wazi kuwa Sikuwa na uwezo wa Kusoma na Nikaamua Kujiajiri ndiyomana Ninaona hata anayeishia O-Level anapoteza muda coz ukishamaliza chuo unaishia kutembea na Bahasha tu bila ya ajira
Faida ya elimu sio kupata pesa tu......self satisfaction/esteem, uelewa wa haraka wa mambo etc " ....education is a pace equalizer.. ". (Elimu sharpens the mind/inaondoa tongotongo). Pesa ni matokeo..! Sio kwamba ukisoma hu wezi kijiajiri au kufanya biashara. (Kwa ulimwengu wa sasa kila kitu kinahitaji elimu)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi ambao hata form IV hatukumaliza , tunaruhusiwa kutia neno ?
 
Sasa nkipita collage,nkienda degree naweza kupata scholarship
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shule ya advance mchezo[emoji23]

Shule kama vita, haki yako kulaumu mkuu.

Yaani lalamika tu maana ile shule ni tight sana, niko tayari kurudia chuo kikuu na O level ila siko tayari kurudia advance hata kama watasema wanatoa mkopo wa kama wa chuo bado siwez kukubali kurudia masomo ya advance.

Wale wazee wa arts wenyewe wanadanganya watu eti masomo yao simpe wakati kule advance walikua wanakesha[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SHULE YA SEKONDARI MAURICE inawatangazia wazazi na walezi wote kwamba tunapokea wanafunzi kidato cha kwanza mwaka 2019, nafasi za kuamia kidato cha kwanza na cha pili pia tuna kituo cha mitihani kwa watahiniwa wa kujitegemea na Q.T. Vile vile pia tunapokea wanafunzi wa kidato cha tano kwa michepuo ya ECA, HGE, HGK, HKL na HGL. ADA ni nafuu sana. Shule ni ya kutwa na bweni kwa wavulana na wasichana. Shule ipo Dar es salaam wilaya ya temeke, eneo LA mbande kisewe. Simu 0785907371. Wote munakaribishwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kati ya kwenda a_level na college ipi bora zaidi???
Kwenda A level ni kupoteza mda , kutokana na mfumo wa nchi kuanzia mwaka 2015, advance level tumepoteza dira tokea aingie jiwe madarakani mpaka Sasa thamani ya elimu ya six imeshuka, form six ni elimu ambayo hata aikupi professional yoyote , unaweza maliza miaka miwili na ukabaki useless , hata yule aliyemaliza form 4 na kwenda kusoma certificate ya record management anakushinda, mana anaajirika ila wewe na six Yako unakuwa mzigo tu.

Kiujumla mfumo wa elimu na ajira umevurugwa tayari kwa hiyo soma for your own risk
 
Kwani nikisoma college diploma ni miaka mingap na certificate mingap na degree mingapi????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…