Kushika chaki sio utumwa. Kuna watu wanaendesha maisha yao na ya ndugu zao kwa chaki hizo hizo unayoidharau. Mfano si unaona unavyotaabika na degree yako ya amazon college/data star ya south.....just kiddingahhaha
nilisanuka mapema
nilichagua technical college
nikaenda zangu
ile natoka tu, na kazi hapo hapo ya 2 mill per month
Baada ya miaka mi 3 ya kazi
nikaenda zangu south kuchukua degree
ile narudi bongo
nuksi hiyo imeingia (jiwe).
hapa.nafikiria kwenda HAVARD au Caltech kupiga masters
all in all kila mtu ana njia zake za kutoboaa
japo wale walioenda advance wengi wemeishia kushika chaki
na wengine mpaka leo wanadaiwa 13% ya heslb
wakati huo c e Ni mwendo wa kitonga tu
Sent using Jamii Forums mobile app