Ningejua nisingewalea watoto wangu wa kufikia. Najuta!

Kweli hii?
 
yaani kwa story hii inaonyesha una miaka 80 na zidi.Sasa udhubutu wa kushika simu janja na hutetemeki(ref.mwandiko)unautoa wapi?
dizain hii utafanya JF isiwe sehemu ya watu kuomba ushauri maana Wanasihi kila post wataiona ina CHAI ndani yake!
 
Msaada uliowapa ulitaka fadhira??, ninavyojua msaada malipo ni kwa Mungu baba
 
Lengo ni kujifunza siyo muandiko ukoje....angalia usipitwe na mengi huko unakopitaga huenda unapishana na mengi
Hakuna cha kujifunza hapa ni roho ya kirofa tu..mimi pia nilikuwa na mke mwenye watoto watatu,nimeishi nao vizuri tu mpaka tulipoachana na mamayao,thank God nilipata nae,mtoto mmoja. Niliwafanyia makubwa tu not to mention,itakuwa kuwasimanga. Lakini si expect chochote toka kwao niliofanya ilikuwa on behalf of their mother.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…