Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Atakama broLengo ni kujifunza siyo muandiko ukoje....angalia usipitwe na mengi huko unakopitaga huenda unapishana na mengi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakama broLengo ni kujifunza siyo muandiko ukoje....angalia usipitwe na mengi huko unakopitaga huenda unapishana na mengi
Mnhhh! Nenda kafungue kesi mahakamani aisee!!Wamenitelekeza hapa, siwezi hata kulipa kodi tena, nilistaafu zamani, nimekuwa nikiomba omba Kwa Watu Wanisaidie Hela kwa watu Nipate chakula Na Hata sehemu Ya kulala. Sahizi hata simu yangu hawapokei Tena Na Wameniblock.
Kweli hii?Nilimwoa mke wangu miaka 30 iliyopita. Alikuja na Watoto wake wawili wa ndoa yake ya awali.
Niliwapenda sana na nikawakubali na kuwafanya kama watoto wangu kwani Sikubahatika kuwa Na Mtoto Wangu mwenyewe.
Tulianza Maisha Yetu, Tulikaa kwa amani katika nyumba Ya kupanga. Nilikuwa nikifanya kazi wakati huo na nilihakikisha kuwa ninawapeleka watoto Hao shule. baba yao hakuwahi kuja kuwaona wala kutoa Huduma Zozote.
Watoto Hao walikuwa Wapo Vizuri Sana Katika Masomo Yao Shuleni. Walisoma Hadi Chuo Na Kubahatika kuajiriwa Mmoja Ni Daktari Ambaye Alipata Udhamini wa kumaliza masomo yake huko USA.
Amerudi na tayari ameshaajiriwa, kijana wa pili ni rubani ambaye nilitumia akiba yangu yote kumlipia kozi yake huko Afrika Kusini, pia amerudi na ameajiriwa pia.
Furaha yangu ni kwamba watoto wangu wamefanikiwa na wamenunua nyumba kubwa, shida yangu ni kwamba mke wangu na watoto Hao
wawili wameungana na baba yao na sasa wanaishi pamoja kwa furaha kama familia.
Wamenitelekeza hapa, siwezi hata kulipa kodi tena, nilistaafu zamani, nimekuwa nikiomba omba Kwa Watu Wanisaidie Hela kwa watu Nipate chakula Na Hata sehemu Ya kulala. Sahizi hata simu yangu hawapokei Tena Na Wameniblock.
Kweli kakosea au kadanganya. Mwandiko wa mstaafu unafanana sana na huo wa kwako.Mbona mwandiko sio wa msataafu uhu samahani lakin
Msaada uliowapa ulitaka fadhira??, ninavyojua msaada malipo ni kwa Mungu babaNilimwoa mke wangu miaka 30 iliyopita. Alikuja na Watoto wake wawili wa ndoa yake ya awali.
Niliwapenda sana na nikawakubali na kuwafanya kama watoto wangu kwani Sikubahatika kuwa Na Mtoto Wangu mwenyewe.
Tulianza Maisha Yetu, Tulikaa kwa amani katika nyumba Ya kupanga. Nilikuwa nikifanya kazi wakati huo na nilihakikisha kuwa ninawapeleka watoto Hao shule. baba yao hakuwahi kuja kuwaona wala kutoa Huduma Zozote.
Watoto Hao walikuwa Wapo Vizuri Sana Katika Masomo Yao Shuleni. Walisoma Hadi Chuo Na Kubahatika kuajiriwa Mmoja Ni Daktari Ambaye Alipata Udhamini wa kumaliza masomo yake huko USA.
Amerudi na tayari ameshaajiriwa, kijana wa pili ni rubani ambaye nilitumia akiba yangu yote kumlipia kozi yake huko Afrika Kusini, pia amerudi na ameajiriwa pia.
Furaha yangu ni kwamba watoto wangu wamefanikiwa na wamenunua nyumba kubwa, shida yangu ni kwamba mke wangu na watoto Hao
wawili wameungana na baba yao na sasa wanaishi pamoja kwa furaha kama familia.
Wamenitelekeza hapa, siwezi hata kulipa kodi tena, nilistaafu zamani, nimekuwa nikiomba omba Kwa Watu Wanisaidie Hela kwa watu Nipate chakula Na Hata sehemu Ya kulala. Sahizi hata simu yangu hawapokei Tena Na Wameniblock.
Maswali kwenye chai hayaruhusiwiWewe hukupata nae mtoto!??
Hakuna cha kujifunza hapa ni roho ya kirofa tu..mimi pia nilikuwa na mke mwenye watoto watatu,nimeishi nao vizuri tu mpaka tulipoachana na mamayao,thank God nilipata nae,mtoto mmoja. Niliwafanyia makubwa tu not to mention,itakuwa kuwasimanga. Lakini si expect chochote toka kwao niliofanya ilikuwa on behalf of their mother.Lengo ni kujifunza siyo muandiko ukoje....angalia usipitwe na mengi huko unakopitaga huenda unapishana na mengi
Hata Mimi mwenyewe nipo nashangaa 😳 huu mwandiko, sio wa mstaafu kabisa🤣Mbona mwandiko sio wa msataafu uhu samahani lakin