Ningejua nisingezini kabla ya Ndoa!

Ningejua nisingezini kabla ya Ndoa!

VentureCapitalist

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2018
Posts
403
Reaction score
545
Katika watu ambao nilikua najivunia uplayer na kuchezea wanawake basi mimi ni miongoni mwao.Sina idadi kamili ya wanawake ambao nilishawahi kuwachezea,kumbukumbu zangu hata haisebiki. Mtu mwenye akili hutulia na mpenzi mmoja! Hii ni dhahiri huna vitu vingi vya kuwaza ukitulia na wa kwako mmoja!
 
Hatimaye nimepata uzi mwingine wa kupost hii picha
IMG_20220417_090137.jpg
 
Mbona unaweweseka mzee, umetupiwa kimbora ama?
 
Baada ya miaka mmoja utakuwa umenyoshwa vya kutosha

Utatafuta tu mchepuko
 
Bado Safari ni ndefu,,, acha kujisifia...
 
Katika watu ambao nilikua najivunia uplayer na kuchezea wanawake basi mimi ni miongoni mwao.Sina idadi kamili ya wanawake ambao nilishawahi kuwachezea,kumbukumbu zangu hata haisebiki. Mtu mwenye akili hutulia na mpenzi mmoja! Hii ni dhahiri huna vitu vingi vya kuwaza ukitulia na wa kwako mmoja!
Tatizo hizo "h" ndio zinanichanganya.
"huna" (you've nothing) au "Una"(you have) ni ipi unaimaanisha hapo kwenye sentence yako ya mwisho?
 
Back
Top Bottom