Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Inasikitisha sana aliitoa picha mi nikaidaka chap kwa harakaJamaa ndio ametokea hayo masundosundo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inasikitisha sana aliitoa picha mi nikaidaka chap kwa harakaJamaa ndio ametokea hayo masundosundo
Wahuni walimsifia sana ona sasaUmeme tayar[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Amri kutokuzini kabla ya ndoa iliwekwa kwa sababu maalum.Ila haya maisha haya, wakati wewe unawaza hivyo kuna anayesema ningejua ningezini kabla ya ndoa[emoji23][emoji23]
Wewe usingezini sawa. Lakini ulie muoa yeye alisha zini sana kabla ya ndoa.Katika watu ambao nilikua najivunia uplayer na kuchezea wanawake basi mimi ni miongoni mwao.Sina idadi kamili ya wanawake ambao nilishawahi kuwachezea,kumbukumbu zangu hata haisebiki. Mtu mwenye akili hutulia na mpenzi mmoja! Hii ni dhahiri huna vitu vingi vya kuwaza ukitulia na wa kwako mmoja!
hunaTatizo hizo "h" ndio zinanichanganya.
"huna" (you've nothing) au "Una"(you have) ni ipi unaimaanisha hapo kwenye sentence yako ya mwisho?
NakaziaSasa mbona sioni cha kujutia hapo..!
Mazishi lini?Kafanyaje huyu?
uzoefu huu nilionao nikimpatia mtu atakua ana wala sana! Maana nilifikia hatua nikajinadi kuwa mimi ni profesa kwenye hili swala.Lakini si umepata uzoefu?Na raha (uroda) ulipata.
Vema sana.Kumbe hupaswi kuhuzunika.Umeshakuwa wa kimataifa tayari.uzoefu huu nilionao nikimpatia mtu atakua ana wala sana! Maana nilifikia hatua nikajinadi kuwa mimi ni profesa kwenye hili swala.
hapo babu kuna kizungumkuti maana ulie muoa hatowasahau kamwe washirika wake wa kuzini na ujiandae na uwezekano wa yeye kukipasha kiporo iwapo mazingira yataruhusu.Wewe usingezini sawa. Lakini ulie muoa yeye alisha zini sana kabla ya ndoa.
kutulia na mpenzi mmoja ni vema zaidi wakati wote na ni busara.Kwamba kutulia na mpenzi mmoja kabla ya kuoa sio kuzini au mimi ndiyo sijaelewa?
ni vigumu kuelezea ila sio ngoma wala nn.nipo salama salmin. mwanaume mwenye busara utulia na mpenzi mmoja.nilikua nao wengi kupita kiasi! Nikajikuta nimeshindwa kujiendeleza kimaendeleo binafsi.mda mwingi nimepoteza kuwawaza wanawake.ambao mda huo ningeutumia kujihimarisha kiuchumi !Natamani kujua kilichokusibu kabla ys yote.nn kimekukuta?
Halafu umeongea bonge la point
Lakini ni kuzini tukubalianae kwenye hilokutulia na mpenzi mmoja ni vema zaidi wakati wote na ni busara.