Ningejua nisingezini kabla ya Ndoa!

Ningejua nisingezini kabla ya Ndoa!

Katika watu ambao nilikua najivunia uplayer na kuchezea wanawake basi mimi ni miongoni mwao.Sina idadi kamili ya wanawake ambao nilishawahi kuwachezea,kumbukumbu zangu hata haisebiki. Mtu mwenye akili hutulia na mpenzi mmoja! Hii ni dhahiri huna vitu vingi vya kuwaza ukitulia na wa kwako mmoja!
Wewe usingezini sawa. Lakini ulie muoa yeye alisha zini sana kabla ya ndoa.
 
Wewe usingezini sawa. Lakini ulie muoa yeye alisha zini sana kabla ya ndoa.
hapo babu kuna kizungumkuti maana ulie muoa hatowasahau kamwe washirika wake wa kuzini na ujiandae na uwezekano wa yeye kukipasha kiporo iwapo mazingira yataruhusu.
 
Natamani kujua kilichokusibu kabla ys yote.nn kimekukuta?
Halafu umeongea bonge la point
ni vigumu kuelezea ila sio ngoma wala nn.nipo salama salmin. mwanaume mwenye busara utulia na mpenzi mmoja.nilikua nao wengi kupita kiasi! Nikajikuta nimeshindwa kujiendeleza kimaendeleo binafsi.mda mwingi nimepoteza kuwawaza wanawake.ambao mda huo ningeutumia kujihimarisha kiuchumi !
 
Back
Top Bottom