VentureCapitalist
JF-Expert Member
- Mar 12, 2018
- 403
- 545
rejea hapo kwenye ..huna vitu vingi vya kuwaza..Sasa mbona sioni cha kujutia hapo..!
we acha tuu! Wanawake hawa sio wakuchezea ndugu yanguKimekukuta nini
Na wakushughulikie tu maana hutaki kusema kilikukuta nini!we acha tuu! Wanawake hawa sio wakuchezea ndugu yangu
yaliyonikuta ndio yamepelekea niwape ushauriKafanyaje huyu?
nyie endeeleni mi nimesha ubwaga uplayer!Na wakushughulikie tu maana hutaki kusema kilikukuta nini!
Okoka!nyie endeeleni mi nimesha ubwaga uplayer!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hatimaye nimepata uzi mwingine wa kupost hii picha
View attachment 2221715
😋😋😋picha ya pili hapo hiyoHatimaye nimepata uzi mwingine wa kupost hii picha
View attachment 2221715
Tatizo hizo "h" ndio zinanichanganya.Katika watu ambao nilikua najivunia uplayer na kuchezea wanawake basi mimi ni miongoni mwao.Sina idadi kamili ya wanawake ambao nilishawahi kuwachezea,kumbukumbu zangu hata haisebiki. Mtu mwenye akili hutulia na mpenzi mmoja! Hii ni dhahiri huna vitu vingi vya kuwaza ukitulia na wa kwako mmoja!