Ningekuwa Jacqueline Mengi ningefanya haya kuepuka migogoro

Haya Mambo ni magumu Sana manake tunachangia kitu ambacho hatukijui.Huyo mzee hakua mjinga kuandika wosia was namba hiyo .Mengine ni sili na hakika hayatajulikana .Manake tuweza hukum kwamba mzee n mkatili kwa hatua hyo pengine hao wakubwa Alisha wapa haki yao .Ukweli usiosemwa n kwamba familia wanajua Kila kitu na kwa uwaz kwamba nani atamilik kipi lakn hapa kikichofichika n tamaa familia moja unataka kuchukua haki ya familia nyingine wakati maandishi yapo sasa ndo Mana watu wanatafuta haki mahakamani.Naludia Mzee hakua mjinga eti aondoke duniani na huku nyuma aache migogolo ya Mali hapana .Kila familia iliachiwa haki tatzo n tamaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I wish nami nitoe ushauri, lakini kwa sababu sijaombwa basi ya kwangu yananitosha sana.
 
 
Sheria na majungu havikai pamoja. "WOSIA WA AINA YA MENGI HAUNA NGUVU MBELE YA WAAMUZI MAKINI,LABDA AINA YA MTEITE .Licha ya mali hiyo kuwa ya Mengi na kuwa na uamuzi juu yake,BUSARA ilimtoka ktk kuamua nani apate nini.Akili yake ilikuwa matakoni alipoandika wosia huo.Si ajabu aliyemshauri pia akili ilikuwa makalioni!
 
Babaake Michael Douglas. Amefariki dola milioni 61 zote kazipeleka charity. Mwanae hajarithi chochote
Kiafrica hiyo isingekubalika. Ila Michael Douglas na yeye ana utajiri wake
 
Endeleeni kutoa ushauri wa kuwazamisha mabinti zenu katika madimbwi wasioweza kuongelea. Raha za kula pensheni za Baba zenu mtazilipa kwa mwendo wowote ule.
 
Siku utakayo kufa na account nduguzako hawazijui au wanao hapo nani atakae onekana mjinga???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuondolee hisia zako hapa. Wasiwasi wako nini, siwapo mahakamani, haki itatendeka kwa kila mmoja.
 

We mwafrika acha ujinga, msiseme vitu kama haujui, marehemu anakushangaa

Hao watoto wakubwa aliishagawiwa urithi wao siku nyingi, tena kwa kumfungulia baba yao kesi mahakamani

Mali zikagawanywa kwa mke mkubwa, watoto wawili wakubwa na zingine akabaki nazo mengi

Alizobaki nazo Mengi ndio hizo katoa urithi kwa bi mdogo na mapacha

Msipende kusema/kulaumu usiyoyajua tena kwa kutukana kabisa
 
Sawa
yaani ukikuta mali sehem we anza na moja , machame nimetokea nawafaham



Sent using Jamii Forums mobile app
Wamachame wakoje ?
hawana masihara kwenye kudai haki zao ni wapambanaji

Sent using Jamii Forums mobile app
1. Wote wapo hivyo wake kwa kiume ?
2. Wana tabia ya kuua kisa tamaa ya mali?
3. Ukioa mmachame kuna probability ya kufanikiwa kiuchumi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jack ni tapeli tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kudeal na wachaga sio simple ni watu ambao wana roho ngumu sana hususan kwenye mali au watoto huwa wapo makini sana. Shida Jacky hakutengeneza mahusiano mazuri nao kipindi hicho angekuwa na ahueni sasa. Ila ndio hivyo ana safari ndefu wachaga wasikikie hivihivi tu looooh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…