Niccolo Machiavelli
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,881
- 3,647
Masikini tuna tabu sana, Mengi mali zake katafuta kwa jasho lake, kaamua kuwaachia watoto wake aliowapenda sana mapacha mali zake. kuna mipumbavu roho zinawauma kama mali ni zao, kama mnawapenda hao watoto wakubwa wa mengi wapeni mali zenu. mali za Mengi kaamua kuwapa mapacha
We jamaa acha ujin*a! Sisi tulikua tukienda kucheza b/ball Don Bosco wakati watoto wa Mengi wanatengeneza kalamu. Alaf leo unataka mali zote achukue mtu ambae hajatoa jasho?....acha ujinga wewe!