monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,781
- 13,444
Noma sana!Analeta utapeli wa wazi ambao hata wananzengo tunaona fika kuwa anazingua[emoji23][emoji23].
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Noma sana!Analeta utapeli wa wazi ambao hata wananzengo tunaona fika kuwa anazingua[emoji23][emoji23].
Mali ziligawizwa kwa ma Director 50% share holders between Reginald and Mercy Mengi kwa makubaliano yao wenyewe ,watoto hawakua semehemu ya hiyo stake MkuuWe mwafrika acha ujinga, msiseme vitu kama haujui, marehemu anakushangaa
Hao watoto wakubwa aliishagawiwa urithi wao siku nyingi, tena kwa kumfungulia baba yao kesi mahakamani
Mali zikagawanywa kwa mke mkubwa, watoto wawili wakubwa na zingine akabaki nazo mengi
Alizobaki nazo Mengi ndio hizo katoa urithi kwa bi mdogo na mapacha
Msipende kusema/kulaumu usiyoyajua tena kwa kutukana kabisa
Jack was there for money halafu k tu impe vyote hata kama Mimi ndio kina Abdy nisingekubali asilani...kwani unafikiri mama Mengi angekuwepo wangeleta ugomvi?hiyo ni natural lazima watoto wa mzee wangecomplain..Mali ziligawizwa kwa ma Director 50% share holders between Reginald and Mercy Mengi kwa makubaliano yao wenyewe ,watoto hawakua semehemu ya hiyo stake Mkuu
😂😂😂😂Huu ushauri ni mzuri sana.
Hakikisha ndugu zako wa kike wote wanapata nakala moja moja ya huu ushauri
... hivi kwa logic ya kawaida tu kati ya binti wa 35- na zee tajiri la 70+ lenye kila aina ya maradhi na msongo wa mawazo ukipima katika mizania ya kawaida kabisa ya probability ni yupi "anategemewa" kutangulia?Na kwann umkabe uyo Mzee akuwekezeee biashara .
Kwan una uhakika kati yako nayeye ,yupi atawahi kufa???
Suala la Kifo halinaga Probability .... hivi kwa logic ya kawaida tu kati ya binti wa 35- na zee tajiri la 70+ lenye kila aina ya maradhi na msongo wa mawazo ukipima katika mizania ya kawaida kabisa ya probability ni yupi "anategemewa" kutangulia?
... kwa hiyo watoto wakubwa watapiga kwa mama yao na kwa baba watalamba! Yaani ile 50% ya mama wanachukua watoto wakubwa na katika ile 50% wanagawana wote! Ila Mzee Mengi hakuwa makini katika suala la wosia!Mali ziligawizwa kwa ma Director 50% share holders between Reginald and Mercy Mengi kwa makubaliano yao wenyewe ,watoto hawakua semehemu ya hiyo stake Mkuu
VizuriMabinti wengi huwa tunajisahau kuweka mambo sawa mapema pale tunapojukuta tupo mikononi mwa hawa wazee Matajiri maana wengi mda wowote kukuacha mjane ni kitu cha kawaida.
Ningekuwa Jaqy mapema sana ningemshauri mzee aniwekezee biashara zangu peke yangu au aniwekezee kiasi cha fedha kwa siri katika account yoyote ya benki bila ndugu yoyote kujua.
Pia, ningeachana kabisa na kufikiria biashara za mzee za zamani ambazo alianza kutafuta yeye na familia yake ningekaa nazo mbali kabisa maana mbele zingeleta mgogoro mkubwa, nisingemshauri mzee aandike wosia wowote ambao ungeleta ugomvi bali ningemshauri aniwekezee biashara zangu mapema na kiasi cha fedha benki hata asipokuwepo niendelee kusurvive na watoto.
Mzee angeondoka hapo ningekuwa na biashara zangu mwenyewe na fedha za kutosha benki, alafu sasa mali na biashara za mzee kama vituo vya habari na uwekezaji mwingine alioanza na familia yake kuutafuta ningekaa nazo mbali labda wenyewe wakubali kunipa kwa ajili ya watoto maana aibu ingewajia.
Lakini kinachomcost jaqy ni tamaa ya mali ambazo nyingine hakuzitafuta yeye Amezikuta tu na alichokosea zaidi ni kumshinikiza mzee aandae ule wosia ambao umekaa kikatili kitu ambacho kimezidi kuwakera ndugu wa marehemu hadi kufikia kwenda mahakamani, jaqy amedumu na mzee kwa miaka mitano tu lakini anataka arithi hadi vile mzee alivyoanza kutafuta na mkewe pamoja na wanawe miaka 50 iliyopita kitu ambacho hata wewe unayesoma hapa usingekubali.
Jaqy alitakiwa asome alama za nyakati mapema kwa kumshauri mzee amuwekezee biashara zake mapema, Angemshauri mzee amuwekee Fedha za watoto Benki za kutosha kimya kimya, hizi mali nyingine angewaachia ndugu tu waamue wenyewe, fikiria mzee angemuwekezea Billioni kadhaa Benki na biashara ambazo tayari alishamfungulia asingeteseka kamwe kama sasa anavyopambana na Ndugu.
Na usikute biashara alimuwekezea na fedha alimuwekezea lakini jaqy bado akawa na tamaa tu ya kutaka vyote, Tamaa ni mbaya sana jamani,Mabinti msikimbilie Utajiri wa haraka wa mali ambazo mmekuta zishatafutwa, mkipata wenza Wazee waambieni wawawekezee nyie kama nyie muaze na moja hizo mali nyingine ziacheni kwa familia waamue wenyewe wawape au wasiwape tayari mlishawekeza vya kwenu.
Hapo mtaishi kwa amani...
Sent using Jamii Forums mobile app
... ukishaweka neno "Mungu" unaenda kiimani; mimi nazungumzia kisayansi! Ukiacha sababu nyingne kama ajali; kiumbe hufa baada ya seli za mwili kuchakaa; pale seli za mwili zinazokufa ni nyingi kuliko zinazozalishwa. Hoja yangu ni binti mwenye 35- na mzee mwenye 70+ ni yupi mwenye probability ya seli nyingi zaidi kufa?Suala la Kifo halinaga Probability .
Ndio maana Wazungu watakuambia Muafrika anaishi miaka 65 ..lkn kuna vizee saizi vina 90+
Mimi binafsi suala la kifo,huwa namuachia Mungu mwenyewe ajuaye kila kitu .
Mkuuu suala la kifo huwa sina namna yoyote nayoweza kulizungumzia zaidi ya Kiimani... ukishaweka neno "Mungu" unaenda kiimani; mimi nazungumzia kisayansi! Ukiacha sababu nyingne kama ajali; kiumbe hufa baada ya seli za mwili kuchakaa; pale seli za mwili zinazokufa ni nyingi kuliko zinazozalishwa. Hoja yangu ni binti mwenye 35- na mzee mwenye 70+ ni yupi mwenye probability ya seli nyingi zaidi kufa?
... kwa hiyo watoto wakubwa watapiga kwa mama yao na kwa baba watalamba! Yaani ile 50% ya mama wanachukua watoto wakubwa na katika ile 50% wanagawana wote! Ila Mzee Mengi hakuwa makini katika suala la wosia!
... kwa hiyo watoto wakubwa watapiga kwa mama yao na kwa baba watalamba! Yaani ile 50% ya mama wanachukua watoto wakubwa na katika ile 50% wanagawana wote! Ila Mzee Mengi hakuwa makini katika suala la wosia!
Woow. Safi sana. Nimeipenda. Akae kwa kutulia kabisa. Ana kazi ya kugombania maghorofa ya watuHapa Lekwilile kampiga bao. Nasikia yeye kaweka asilimia kubwa ya mali zake vizuri kwa watoto wote (kawarithisha na kuwakabidhi mapemaa). Na alikuwa na watoto tele. Sasa Mengi wawili tu (sijui wanne), alishindwa kuwaweka clear wanachotakiwa kupata!
Aisee, familia yangu sio ya kipumbavu .mkuu ushauri wako ni mzuri lakn hio haiondoi ukweli kwamba familia nyingi za kiafrika ni wapumbavu au wajinga wajinga!......
ukiangalia pale watoto wale wengine wakubwa kabisa kuliko hata Jack, then watoto waliobaki ni hawa mapacha!..... kuna ulazima gani wao kugombea mali?
ule wosia mimi nilivousoma sioni kama kuna baya lolote zaidi ya mwenyewe mengi kutaka watoto wake makinda wapate pakubwa (rightly so), hata ningekua mimi ningeweza kufanya vile vile!......
kinachoonekana hapa ni wivu na aina nyingine ya mambo ya kiswahili......... nilichojifunza mimi hapa kwa sisi wanaume ni kuwa na account nyingi za siri ambao hawa ndugu na watoto wakubwa hawazijui........