miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
Thank you. You spoke my mind. After all bado wana haki kwa mali ya mama yao. Eti wamejikosesha. Tueage tunawaza mara mbilimbili bwana. Hivi wanamjua mama mercy kweli? Huyu ndo alikua na mkwanja. Na ndo alomsomesha hata mengi. Na ndo alianzisha kiwanda cha bonite angali amempeleka mumewe kwenda nje kusoma yete alishaanza biashara huku. Halag binti mmoja lwa miaka mitano tuu ajitwalie kiurahisi tu.Kuwa wagumba au Tasa hakukuwa kwenye hesabu zao au ulikuwa ukiwapangia ni lazima kuzaa? maisha waliyoishi na wazazi wao yana mengi sidhani kama mzee mengi alienda kwa miajli ya jack azae ama asizae...
Halafu mnaongea kirahisi sana. Hebu jiwekeni kwenye position ya hawa watoto wakubwa. Mama yao kahussle. Yet baba yao pia kagussle. Yet na wao pia wamepambana. Dada mmoja anajua kwenda bahamas na ibiza within 5 yrs anataka ajitwalia tu. Imagine we ndo mama wa hawa wakubwa halag wanao wawe treated hivi kwa jasho lako.
Kuzaa ama kutokuzaa haijalishi period. Iwe ni kwa kupenda ama kutokupenda. Kwani wao si wana watu wao pia wanaowapenda na kuwathamini ambao wanaweza kuwarithisha? Aache ujinga huyu mrembo. Hao watoto wake ndo keki ama?
Sent using Jamii Forums mobile app