Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,186
- 13,757
Angewekezewa Mabilioni yake Uswizi angekuwa anabunya kimya kimya tu. Huku akifunguliwa biashara za kuzugia na kuwekezewa hisa kwenye makampuni makubwa. Angekuwa anakula Dividend kinyele!
Tatizo hiyo akili hakuwa nayo,yeye alikuwa anawaza tu kuponda starehe na wadawa wenzie wa mjini,kaka stuka is too late ndio anagombea hiyo 25% ya Mzee! Wenye 75% watamnyoosha vizuri sana! Bora angekuwa mpole tu