Ningekuwa Jacqueline Mengi ningefanya haya kuepuka migogoro

Mabinti wengi huwa tunajisahau kuweka mambo sawa mapema pale tunapojukuta tupo mikononi mwa hawa wazee Matajiri maana wengi mda wowote kukuacha mjane ni kitu cha kawaida.

Paragraph ya nne umeandika vema sana “hakika wasingemtupa maana watoto wake ni wao”
Akili alizotumia jak ni zakimafia sana sijui alijua sheria zimelala
 

Na roho mbaya sana sijui mrwanda yule
 

Wosia ule ugeshirikisha ndugu either kaka ama mdogo wa marehemu af jak wala asingekuwepo kikaoni apo mzee mawazo yake yangejeshimika na jak angekula kwa ubua “kifo cha maskini mambo uwa shwari ile wenye pesa ..... rip tx moshi willium
 
Wosia ule ugeshirikisha ndugu either kaka ama mdogo wa marehemu af jak wala asingekuwepo kikaoni apo mzee mawazo yake yangejeshimika na jak angekula kwa ubua “kifo cha maskini mambo uwa shwari ile wenye pesa ..... rip tx moshi willium
Hata angeshirikisha ndugu bado liko tatizo. Si mali zote ni za mengi. Kuna za mke mkubwa. Kuna za familia sijui ukoo etc. Bado isingempa uhalali wa kurithi zote. Still.angepata anachostahili tu na basi
 
Huu ushauri ni mzuri sana.

Hakikisha ndugu zako wa kike wote wanapata nakala moja moja ya huu ushauri
Nimecheka sana 😅😅😅😅😅😅😅😅😊😅😅😅😂😂😂😂😂 nakala moja kwa dada tafadhali
 
Unamfundisha jinsi gani angedanga kwa weredi😂😂
Hahaha jamaa uliwazaga nini humu😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😂😂😂😂😂😂😂😂😂😅😅😃😃😃😃😃😃🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😅😅😅😅😅
 
Ushauri wako na yanayoendelea sasa
 
Duh yaani kimeumana mbaya kabisa. Ila busara ingetumika kidogo kwa huyo bi mzuri 'if you can't fight them join them' kila la kheri sie yetu macho tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…