Hello!
Simba kama timu kubwa Africa ni lazima uchukuaji wake wa vikombe hasa vya ligi kuu viwe ni lazima angalau isipite miaka 3 bila kunyenyua ndoo. Lakini kwa trend hii ya kudondosha point kwenye mechi muhimu, suala la vikombe kwenda msimbazi linaweza kusubiliwa sana.
Mechi kati ya Simba na Yanga inaweza kuamua Simba ibebe au isibebe ubingwa wa msimu wa 2024/2025.
Kutokana na Yanga kuwa Bora sana kwenye safu yake ya kiungo na ushambuliaji ni vyema Simba nayo ikaja na watu wa Kasi sana mbele ili kuzima mashambulizi ya timu pinzani.
Kikosi ambacho ningependekeza kianze dhidi ya Yanga ni hiki;
Radack Chasambi na Dese Mukwala wataanza kwenye kikosi kutokana na pilika pilika zao ili kufanya mabeki wa timu pinzani muda wote wabaki wakiwa kaba hao jamaa pasipo kuongeza nguvu ya kushambulia. Chasambi na Mukwala wakiwa kwenye ulinzi mkali ndipo Mpanzu na Kibu D wanaingia kwa Kasi kupiga magoli bila huruma.
Kwa kuwa Yanga watakuja wote kulazimisha kufunga, kazi ya Yusuf Kagoma itakuwa ni kuwatuliza viungo hao wa Yanga na Fabrice Ngoma akipewa kazi ya kupiga mipira mirefu kwa mawinga ili counter attack ijibu mashambulizi kwa Kasi ya hatari.
Ahou na Ateba watasubiri sana kwenye gemu hiyo kwa sababu hao jamaa wanakuwaga na uzito sana kwenye kufanya uamuzi wa kutoa pasi na kukaba.
Kwa hicho kikosi Yanga anakula 3 mapema sana.