Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 3,727
- 3,777
Kwani siku hizi Deborah Mavambo kapotelea wapi naona hazungumziwi kama zamani au alikuwa gesi ya soda tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namjua Kabudi mzee wa singeli...Unawajuwa ma Prof. Wanapi ambao hawafundishi chuo kikuu?????
Dah! Simba inahitaji kikosi Bora zaidi ya hichiHello!
Simba kama timu kubwa Africa ni lazima uchukuaji wake wa vikombe hasa vya ligi kuu viwe ni lazima angalau isipite miaka 3 bila kunyenyua ndoo. Lakini kwa trend hii ya kudondosha point kwenye mechi muhimu, suala la vikombe kwenda msimbazi linaweza kusubiliwa sana.
Mechi kati ya Simba na Yanga inaweza kuamua Simba ibebe au isibebe ubingwa wa msimu wa 2024/2025.
Kutokana na Yanga kuwa Bora sana kwenye safu yake ya kiungo na ushambuliaji ni vyema Simba nayo ikaja na watu wa Kasi sana mbele ili kuzima mashambulizi ya timu pinzani.
Kikosi ambacho ningependekeza kianze dhidi ya Yanga ni hiki;
Radack Chasambi na Dese Mukwala wataanza kwenye kikosi kutokana na pilika pilika zao ili kufanya mabeki wa timu pinzani muda wote wabaki wakiwa kaba hao jamaa pasipo kuongeza nguvu ya kushambulia. Chasambi na Mukwala wakiwa kwenye ulinzi mkali ndipo Mpanzu na Kibu D wanaingia kwa Kasi kupiga magoli bila huruma.
Kwa kuwa Yanga watakuja wote kulazimisha kufunga, kazi ya Yusuf Kagoma itakuwa ni kuwatuliza viungo hao wa Yanga na Fabrice Ngoma akipewa kazi ya kupiga mipira mirefu kwa mawinga ili counter attack ijibu mashambulizi kwa Kasi ya hatari.
Ahou na Ateba watasubiri sana kwenye gemu hiyo kwa sababu hao jamaa wanakuwaga na uzito sana kwenye kufanya uamuzi wa kutoa pasi na kukaba.
Kwa hicho kikosi Yanga anakula 3 mapema sana.
Simba ina kikosi dhaifu,hilo tulikubali..Wanahitajika wachezaji wa maana kama watatu pale.Dah! Simba inahitaji kikosi Bora zaidi ya hichi
Namba 10 ndiyo muhimu kuliko wachezaji wote uliowataja.Simba ina kikosi dhaifu,hilo tulikubali..Wanahitajika wachezaji wa maana kama watatu pale.
Striker wa maana,chomoa Mukwala.Winger ya kulia ya maana ,chomoa Mutale.
Kiungo wa maana Box2Box,chomoa Okejepha.
Namba 10 ya Ahoua nayo ina mashaka makubwa,ila basi tu.
Baadae muanze kumlaumu kapombe kuwa kala pesa za GSMHello!
Simba kama timu kubwa Africa ni lazima uchukuaji wake wa vikombe hasa vya ligi kuu viwe ni lazima angalau isipite miaka 3 bila kunyenyua ndoo. Lakini kwa trend hii ya kudondosha point kwenye mechi muhimu, suala la vikombe kwenda msimbazi linaweza kusubiliwa sana.
Mechi kati ya Simba na Yanga inaweza kuamua Simba ibebe au isibebe ubingwa wa msimu wa 2024/2025.
Kutokana na Yanga kuwa Bora sana kwenye safu yake ya kiungo na ushambuliaji ni vyema Simba nayo ikaja na watu wa Kasi sana mbele ili kuzima mashambulizi ya timu pinzani.
Kikosi ambacho ningependekeza kianze dhidi ya Yanga ni hiki;
Radack Chasambi na Dese Mukwala wataanza kwenye kikosi kutokana na pilika pilika zao ili kufanya mabeki wa timu pinzani muda wote wabaki wakiwa kaba hao jamaa pasipo kuongeza nguvu ya kushambulia. Chasambi na Mukwala wakiwa kwenye ulinzi mkali ndipo Mpanzu na Kibu D wanaingia kwa Kasi kupiga magoli bila huruma.
Kwa kuwa Yanga watakuja wote kulazimisha kufunga, kazi ya Yusuf Kagoma itakuwa ni kuwatuliza viungo hao wa Yanga na Fabrice Ngoma akipewa kazi ya kupiga mipira mirefu kwa mawinga ili counter attack ijibu mashambulizi kwa Kasi ya hatari.
Ahou na Ateba watasubiri sana kwenye gemu hiyo kwa sababu hao jamaa wanakuwaga na uzito sana kwenye kufanya uamuzi wa kutoa pasi na kukaba.
Kwa hicho kikosi Yanga anakula 3 mapema sana.
Ni kweli kabisa simba tuna vijana wengi kuliko yanga...kapombe miaka 18....Mohamed husein 16....ngoma 17Yanga hii hii iliyoishia makundi au kuna Yanga nyingine?
Ingekuwa bora isingekuwa hapo ilipo.
Hicho kikosi chako ni mihemko yako tu Simba ni ile ile hakuna mchezaji garasa wala mzee, wote wapo vizuri.
Simba watakufa tena maana watataka kushinda hii gemu kwa hali na mali wakiruhusu tupishane kama walivyocheza na Azam wanakufa tena maana beki ndio hawana kabisaa ila hii mechi Chama ilitakiwa aanze mapema na assist zake hata uwe tura vip unafunga..Hiyo mechi akianza Shabalala na Kapombe nitashangilia mno hata kabla ya mechi
Ukimuacha ngoma nani anacheza namba 8?SAJILI ZA MABORESHO ZISIZOPUNGUA TANO SIMBA.
TIMU BADO SANA KUFIKA WALAU NUSU WA ILE YA 2019.
WAACHANE NA.
1. Joshua Mutale.
2. Karabue Chamoe.
3 .Agustine Okejepha.
4. Dese Mukwala.
5. (Ngoma).
6 Manula.
MABORESHO YA SAJILI.
Beki wa kati NO 5.
Kiungo mkabaji No 6.
Kiungo mshambuliaji 10.
Mshambuliaji No 9.
Hadi leo sijapata majibu kwanini Fadru alisajili mchezaji mmoja tu Dirisha Dogo, ilinishangaza sana!!!!!!!!
Au ndio kuvizia ma Free Agent.
NIMEMALIZA
Aucho 18....chama 17.....diara 19......pacome 12Ni kweli kabisa simba tuna vijana wengi kuliko yanga...kapombe miaka 18....Mohamed husein 16....ngoma 17
5 itakuwa hawajaingia kwenye mfumo vizuri, hapo kuna 7+Kwa kikosi hicho jiandae kula 5 mwanetu
Usajili mkubwa unahitajika ili kukiboresha kikosiSimba ina kikosi dhaifu,hilo tulikubali..Wanahitajika wachezaji wa maana kama watatu pale.
Striker wa maana,chomoa Mukwala.Winger ya kulia ya maana ,chomoa Mutale.
Kiungo wa maana Box2Box,chomoa Okejepha.
Namba 10 ya Ahoua nayo ina mashaka makubwa,ila basi tu.