Ningekuwa kwenye benchi la ufundi la Simba SC ningependekeza kikosi hiki hasa kwenye mechi dhidi ya Yanga

Kwani siku hizi Deborah Mavambo kapotelea wapi naona hazungumziwi kama zamani au alikuwa gesi ya soda tu.
 
Dah! Simba inahitaji kikosi Bora zaidi ya hichi
 
OHUA SOMETIME YES SOMETIMES NO.

ANAIKATA SANA SIMBA KWENYE MICHEZO MIKUBWA.
 
Kwa hiki kikosi mkifungwa chache ni 6... na fujo uwanjani zitaanza mapema sana
 
Dah! Simba inahitaji kikosi Bora zaidi ya hichi
Simba ina kikosi dhaifu,hilo tulikubali..Wanahitajika wachezaji wa maana kama watatu pale.

Striker wa maana,chomoa Mukwala.Winger ya kulia ya maana ,chomoa Mutale.

Kiungo wa maana Box2Box,chomoa Okejepha.

Namba 10 ya Ahoua nayo ina mashaka makubwa,ila basi tu.
 
Namba 10 ndiyo muhimu kuliko wachezaji wote uliowataja.
 
SAJILI ZA MABORESHO ZISIZOPUNGUA TANO SIMBA.

TIMU BADO SANA KUFIKA WALAU NUSU WA ILE YA 2019.

WAACHANE NA.
1. Joshua Mutale.
2. Karabue Chamoe.
3 .Agustine Okejepha.
4. Dese Mukwala.
5. (Ngoma).
6 Manula.

MABORESHO YA SAJILI.
Beki wa kati NO 5.
Kiungo mkabaji No 6.
Kiungo mshambuliaji 10.
Mshambuliaji No 9.

Hadi leo sijapata majibu kwanini Fadru alisajili mchezaji mmoja tu Dirisha Dogo, ilinishangaza sana!!!!!!!!

Au ndio kuvizia ma Free Agent.

NIMEMALIZA
 
Baadae muanze kumlaumu kapombe kuwa kala pesa za GSM
 
Yanga hii hii iliyoishia makundi au kuna Yanga nyingine?

Ingekuwa bora isingekuwa hapo ilipo.

Hicho kikosi chako ni mihemko yako tu Simba ni ile ile hakuna mchezaji garasa wala mzee, wote wapo vizuri.
Ni kweli kabisa simba tuna vijana wengi kuliko yanga...kapombe miaka 18....Mohamed husein 16....ngoma 17
 
Hiyo mechi akianza Shabalala na Kapombe nitashangilia mno hata kabla ya mechi
Simba watakufa tena maana watataka kushinda hii gemu kwa hali na mali wakiruhusu tupishane kama walivyocheza na Azam wanakufa tena maana beki ndio hawana kabisaa ila hii mechi Chama ilitakiwa aanze mapema na assist zake hata uwe tura vip unafunga..
 
Washabiki wa Simba pangeni vikosi ili kocha wenu achambue Timu kupitia ninyi ili mkipigwa Tano tena lawama zisiwepo...
 
Mwambieni yule dogo anaedaka na kurudisha ndani apunguze misifa...mtumishi wa mungu Mr.Osborn anaingia surb shauri yake
 
Ukimuacha ngoma nani anacheza namba 8?
 
Usajili mkubwa unahitajika ili kukiboresha kikosi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…