Uchaguzi 2020 Ningekuwa Makonda ningesubiri mpaka 2025

Ilikuwa ni suala la muda tu kabla ya kujidhihiri u zero brain wake.. Thats the real definition of BASHITE.
[emoji23] [emoji23] Akili nyingine ni matope kabisa!
Huyo unaemwita zero brain, utakufa hadi unazikwa hujafikia hata robo ya maisha yake anayoishi, sasa hebu jitafakari nani ni zero brain hapo?

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 

Hujawahi kuwa na upendo naye. So how and why this love.
 
Mimi sidhani kama makonda ameamka na kwenda kuchukua form
 
Ukute boss wake ndiyo kampa go ahead, Mnyeti pia
Magufuli kamwambia Bashite agombee.

Akiingia Bungeni Anapewa Uspika.

Tayari Rais, Waziri Mkuu na Spika Wana Kinga Za Kutoshtakiwa.

Lengo Ni Kumlinda Dhidi Ya Matukio Aliyopiga - post 2025.

A Calculated Move
 
Ni kweli mkuu wa mkoa ana nafasi ya kutengeneza pesa ndefu na kutumikia wananchi vizuri ila hii ni plan B utashangaa anakuwa waziri mara huyo.
 
Magufuli kamwambia Bashite agombee.

Akiingia Bungeni Anapewa Uspika.

Tayari Rais, Waziri Mkuu na Spika Wana Kinga Za Kutoshtakiwa.

Lengo Ni Kumlinda Dhidi Ya Matukio Aliyopiga - post 2025.

A Calculated Move
kwani hayo matukio aliyafanya akiwa spika ?
 
Kweli kabisa mkuu DeepPond ijapokuwa umeadimika sana kwenye lile jukwaa letu. Inawezekana alishapiga hela za kutosha, hivyo ameamua kutoka kiaina kwani huko aendako uwezakano wa kupigwa panga ni mkubwa sana. Kumbuka siasa za nchi hii hazitabiriki.
 
Watu wanavyofakamia ubunge na kuususa Urais, nahisi hadi JPM anajuta na kuutamani ubunge!
 

Mmelalamika sana JPM amtoe hapo alipo na imekuja ' Timing ' nzuri kweli kweli ya Kumtoa kwani hivi sasa ' Rivals ' wake wameishiwa mno Nguvu.
 
Hii nchi haiishi viroja! Mtashangaa ndio anakua Waziri Mkuu.

Lakini, atapita kweli?
 

Alivyozoea ukuu wa mkoa, kesho asije fanya ziara ya kugawana kazi za serikali kwa CCM.
Naam, ataumiss sana huu mkoa. Asije kuta anaamkia ukuu wa wilayaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Mmelalamika sana JPM amtoe hapo alipo na imekuja ' Timing ' nzuri kweli kweli ya Kumtoa kwani hivi sasa ' Rivals ' wake wameishiwa mno Nguvu.

Hana rivals. Anatembea kwa raha zake. Atakachokosa sasa ni urais wa mkoa wa Dar πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Alivyozoea ukuu wa mkoa, kesho asije fanya ziara ya kugawana kazi za serikali kwa CCM.
Naam, ataumiss sana huu mkoa. Asije kuta anaamkia ukuu wa wilaya[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ndio hapo karata zake zinatakiwa ziwe vyema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…