Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Because if it backfires, it could be the beginning of the endNdio hapo karata zake zinatakiwa ziwe vyema
Missouri haoUkute boss wake ndiyo kampa go ahead, Mnyeti pia
Unababaika Kwa kuzungwa na ma Polisi Muda wote ?Ndugu Paul Makonda Ukuu wa mkoa ndio ulikuwa unampendeza na kumpa mamlaka ya Nguvu kuliko huo ubunge anaouhitaji,
Japokuwa ukuu wa mkoa ni nafasi inayotegemea mteuaji ameamkaje kwa siku hiyo(haikupi uhakika kwamba utakuwa ofisini siku ya kesho) lakini kwangu Ukuu wa mkoa ilikuwa ndio nafasi pekee ya kutamba kwake ukizingatia aliweza kula vizuri na boss wake hivyo kwa vyovyote vile alikuwa na uhakika wa kuwa tena mkuu wa mkoa kwa wakati mwingine tena...
Hana rivals. Anatembea kwa raha zake. Atakachokosa sasa ni urais wa mkoa wa Dar 😀😀😀😀😀
Kwenye ubunge kuna nafasi ya kuwa waziri au hata spikka wa bungeNdugu Paul Makonda Ukuu wa mkoa ndio ulikuwa unampendeza na kumpa mamlaka ya Nguvu kuliko huo ubunge anaouhitaji,
Japokuwa ukuu wa mkoa ni nafasi inayotegemea mteuaji ameamkaje kwa siku hiyo(haikupi uhakika kwamba utakuwa ofisini siku ya kesho) lakini kwangu Ukuu wa mkoa ilikuwa ndio nafasi pekee ya kutamba kwake ukizingatia aliweza kula vizuri na boss wake hivyo kwa vyovyote vile alikuwa na uhakika wa kuwa tena mkuu wa mkoa kwa wakati mwingine tena...
Kila mtu ana malengo yake wewe unaleta mambo ya kupendeza,mwenzio ana kiu ya kutumikia wananchiNdugu Paul Makonda Ukuu wa mkoa ndio ulikuwa unampendeza na kumpa mamlaka ya Nguvu kuliko huo ubunge anaouhitaji,
Jamani ile nyumba yaliyoikarabati na GSM si anatuachia kila kitu ndani hapo kesho au [emoji23][emoji23][emoji23]
Atafanya kama Mke wa Sepetu kule Zanzibar [emoji28][emoji28][emoji28]
Kwani kuna mtu alijua Kikwete atampa Nchi dikteta? Unadhani kwanini hakumfukuza kazi baada ya sakata la clouds!? Na Nape ambaye alifuata sheria ndiyo akafukuzwa? Kashfa ya makonteina akapeta. Mawaziri kumuogopa Bashite huku dikteta akiwa kimya.
Bashite anajua Mazabe mengi ya dikteta na anamuogopa hivyo Urais 2025 kama bado Watanzania wengi wamezubaa ni wa bashite.
Kua Rais wa Tanzania wewe utakua unaota ndoto za mchana ambazo hazina maana yoyote... hilo aliwezekani abadan
Hiyo ni kweli kabisa na naunga mkono hoja yako mkuu. Sema watu wanafikiri hata lile sakata la kukwepa kodi ya bil1.3 alichoropoka kibahati au kashfa ya Gwaji boy na vipeperushi vyake vya ukabila alinusurika kimiujiza. Hapana kuna kitu nyuma ya pazia lazimaUsilolijua ni sawa na usiku wa giza ,hiyo kitu ni planned mission,uwe mpole,hajauchia u RC kama ajali
Na Gwajima?Makonda waziri wa Mambo ya Ndani
Gambo waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
Daaaah kutumikia wananchi!!! hii ni ccomment ya karneKila mtu ana malengo yake wewe unaleta mambo ya kupendeza,mwenzio ana kiu ya kutumikia wananchi
You may hate him, lakini kati ya watu wenye uhakika wa kupata lundo la kura kwenye ubunge no Makonda, like it or not.Wewe umemzungumzia Makonda na faida zake binafsi akiwa mkuu wa mkoa au mbunge na hili ndilo kosa la wapiga kura wa Tanzania, tunawachagua watu ili wakajinufaishe. Binafsi sina sympathy yoyote na Makonda, nimefurahi mno kwamba ametoka na ningependa asiwepo kwenye uongozi wa aina yoyote ile. Amefanya yasiyokubalika mengi tu na ametumika sana kukandamiza demokrasia ya watanzania. Ni watu wasio na upeo mkubwa tu ndio watamchagua kuwa kiongozi au mbunge. Samaki hujikaanga kwa mafuta yake mwenyewe naamini ndicho kilichomtokea na anastahili kabisa.