sam2000
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 528
- 337
Anyways mawzo yako sio mabaya sana mtafute Jokate au Nikki uwauzie hili deal π ππππππππππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anyways mawzo yako sio mabaya sana mtafute Jokate au Nikki uwauzie hili deal π ππππππππππ
Hhahahhaa...! Maji na umme ni sera za kitaifa. Kama mkuu wa wilaya inabidi ujiongeze uwe na mambo ya mfano ambayo hayaharibu mfumo uliowekwaπππππMkuu hii mikakati nadhani kuna wakuu wawilaya humu wananote saivi. Wanadhani ukuu wa wilaya ni kutakua kero za maji tu.
wapo humu humu hawakauki humuAnyways mawzo yako sio mabaya sana mtafute Jokate au Nikki uwauzie hili deal π π
Mkuu usirahisishe hivo ukadhani mambo ni rahisi kama enzi zile za Maisha Bora kwa kila Mtanzania....! Hapo katikati mambo yalivurugika...Wahitimu tumieni ujuzi mliopata vyuoni katika utatuzi wa changamoto zinazoikuta jamii na watu wanao wazunguka kwa kufanya hivyo jamii mnayoisaidia haitowaacha bila kuwalipa fadhila za mchango wenu huku moyoni mwenu mkiwa na moyo wa kutoa msaada mtajikuta mnaona faida ya elimu zenu lakini mambo ya kujiona msomi unajitenga na watu upo bize kuangalia matangazo ya ajira mitandaoni ukishinda ndani ukitoka upo na bahasha mkononi faida ya elimu utachelewa sana kuiona.
Lazima uwafuate sometimes wakupe kazi kabisa ya kufanya hii planwapo humu humu hawakauki humu
we mwenyewe huna ajiraNingekuwa ndio mkuu wa wilaya ningetatua tatizo la ajira kwa watu wote wanaoishi wilayani kwangu.
Hizi ni hatua ambazo ningechukua.
Kwanza ningetambua idadi ya wahitimu wote wanaotokea wilayani kwangu.
Ningehakikisha kama hawana kazi za kufanya nawatafutia kampuni, taasisi na viwanda vya kufanyia mazoezi ya vitendo (internship) kipindi wanasubiria ajira zao.
Nisingekubali wahitimu wanaotokea wilayani kwangu kukaa bila kitu cha kufanya huku wakipoteza maarifa yao waliojifunza vyuoni bila kuyafanyia chochote.
Pili ningehakikisha natambua idadi ya wanafunzi wanaoendelea na masomo vyuoni. Hawa wangekuwa wanajiunga kufanya field moja kwa moja kwenye kampuni, taasisi na viwanda vilivyopo wilani kwangu.
Ningeanzisha wakala wa kuajiri kwa kazi zote zinazotangazwa na kampuni za binafsi katika wilaya yangu. Hivyo ningetambua nafasi zote zilizowazi katika kampuni, taasisi na viwanda binafsi kisha zingetangazwa kupitia wakala hiyo wilayani kwangu.
Tatu ningeanzisha vikundi mbalimbali kwaajili ya ujasiriamali ambavyo ningevidhamini mikopo ya riba nafuu. Vikundi hivi vingefanya ujasiriamali mbalimbali mfano ufugaji, kilimo, biashara za bidhaa, usafirishaji n.k. Haya yote yangekua chini ya uangalizi wa wilaya yangu.
Kwakweli mambo yangekua ni moto kwenye wilaya yangu.
Kwenye wilaya kuna matatizo mengi lakini nadhani tatizo la ajira ndio kubwa kuliko matatizo yote Tanzania. Ni tatizo gumu linalohitaji ushirikiano na akili ya ziada ili kuweza kulitatua.
Wewe kama mkuu wa wilaya unatumia mbinu zipi kutakua tatizo hilo.
Karibuni kwa maoni.
Wewe raia wa wapi?!!! Wamesomeshwa au wamekopeshwa hizo pesa ?, Kwahio wakamatwe na wafungwe ili waende kulishwa kwa pesa za walipa kodi ?Mimi nashauri wahitimu wasio na kazi wakamatwe wafunguliwe kesi za uhujumu uchumi. Wamefuja fedha za walipa kodi kwa kusomeshwa na serikali halafu wanamaliza anakaa bila ya kufanya chochote? How? Walienda shule kulemaa ama kupata mbinu za kujitafutia riziki??.
Wakienda jela watalimishwa na kuzalisha kwa mijeledi mpk hela yetu itakapo rudi yote. Miaka ya kukaa jela itategemea kiwango cha mkopo mhitimu alichopewa.Kwahio wakamatwe na wafungwe ili waende kulishwa kwa pesa za walipa kodi ?
Kindly that's not good solution. We don't solve problems like thatWakienda jela watalimishwa na kuzalisha kwa mijeledi mpk hela yetu itakapo rudi yote. Miaka ya kukaa jela itategemea kiwango cha mkopo mhitimu alichopewa.
Na usiwe na wasi wasi kwamba Hawa wahitimu wanaweza kuanza kuwa majambazi. Hawana uwezo huo. Watu ambao wamekosa uthubutu kiasi cha kukosa cha kufanya, hawawezi ujambazi maana unahitaji uthubutu mkubwa.
Wahitimu wa aina hii ni mzigo kwa taifa.
Usiwaonee huruma. Wahenga wanasema "uvivu nyumba ya njaa". Tukiwaonea huruma wavivu hawa wa kufikiri taifa litaangamia kwa njaa.Kindly that's not good solution. We don't solve problems like that
Ukishakuwa petty bourgeoisie habari ya kuwasemea watanzania itakuwa ndoto. Utakumbuka maneno yangu.Mimi nina kazi zangu nafanya mkuu nimeajiri watanzania. Ila 2025 nagombea ubunge ili kusaidia watanzania. Naingia bungeni kwenda kuwasemea watanzania. Nadhani umenipata mkuu.