Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Uislamu umeiga karibu kila kitu toka kwa waanzilishi wao Wakatoriki.huna akili we , uislamu na ukatoliki wapi na hauna ata kiakili japo kidogo cha kuchunguza misingi ya hizi dini mbili!! ibada ya SANAMU na uislamu wapi na wapi wakati ukatoliki ukiingia tu unakutana na SANAMU ya bikira Maria, ukatoliki umeanzishwa roma ulaya uislamu middle East na katika history ya manabii hakuna nabii mzungu wala alietoka ulaya vipi wazungu wawe na dini ya kwao ikiwa mwenyezimungu hajawahi kuwapelekewa nabii na Kama yupo wewe unamjua mtaje ,wakatoliki wanaamini yesu mwana wa mungu uislamu mungu hana mwana na ni dhambi kubwa kusema hivyo yesu ni nabii Kama mussa .wakatoliki wanaamini Maria mama wa mungu kwenye uislamu hiyo ni dhambi ya daraja la juu kabisa kusema mwenyezimungu ana mama , mwenyezimungu hakuzaa wala hakuzalia na hakuna aliewahi kumuona kwa waislam wanaamini hivyo. Sasa Kama vitu huvijui ni bora kukaa kimya kuliko kupotosha watu kwa kutumia akili yako ndogo isioweza hata kufikir eti uislamu ni zao la katoliki unatumia ushaidi upi wa kuaminisha watu hayo unayoyasema ikiwa uislamu na ukatoliki haufanani kabisa ni mbingu na ardhi.
Tasbihi = Rozali
Azana = Kengele
Ramadhani = Kwaresma
Zakat = Zaka
Sanamu Jiwe jeusi = Sanamu
Uzza, Lutta na Manata = Maria
Katekisimu = Qurani
Kanzu = Kanzu
Kofia = Kofia
Papa = Muhammadi
Udi na Ubani = Udi na Ubani
Jumapili = Ijumaa
Roma = Maka
Malaika = Majini
Kusujudu = Kusujudu
Swala tano = Swala tano
Kuhiji = Kuhiji
Na mengine mengi tu hayahesabiki.