GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Unamtafuta jamaa 🤣Hapo kwa Kibu Denis ni wazi imedhihirika ni jinsi gani wewe ni ngumbaru
Kichapo kipo palepale leo,hayo maneno ya huruma hayana maana.Well said.
Kila la kheri Simba
Inonga, ni full package [emoji403]Nafasi ya Enonga, acheze WAWA. Kolabo ya Onyango na Wawa ipo stable sana kuliko Onyango na Enonga
Alisikika mchunga ng'ombe wa mayele akibwatuka.Hata Simba mruhusiwe mchezeshe wachezaji 22, leo ni kipondo tu: Full time simba 0 - 3 usgn.
Na mkirudi kwenye nbc league mayele anawasubiri, tarehe 6 lazima mchukue mkono
Daima mbele nyuma mwiko,Kichapo kipo palepale leo,hayo maneno ya huruma hayana maana.
Morrison anafanya nini humo?1. MANULA
2. KAPOMBE
3. HUSSEIN
4. INONGA...
Nimzuri kwenye kulazimisha backline ya timu pinzani,