Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Kipigo ni pale pale
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Morrison ni mzururaji Tu,Nimzuri kwenye kulazimisha backline ya timu pinzani,
Anajicho la ziada mchezoni, mfuatilie
Kibu ni mzuri, Ila si kwa gemu kama hii, huwa anachelewa kuingia mchezoni
Naona tunamitazamo tofauti kwenye, (sio kitu kibaya).Morrison ni mzururaji Tu,
Tena anapenda sn kucheza na jukwaa.
Kibu ni mzuri akitokea pembeni,
Pia body language yake inawatisha wapinzani hapo mbele.
Sent from my M2101K7BG using JamiiForums mobile app
Kumbe unaona kama Mimi. Sema kocha sijui ana shida Gani na Wawa.Nafasi ya Enonga, acheze WAWA. Kolabo ya Onyango na Wawa ipo stable sana kuliko Onyango na Enonga
bwallya na kibu toa hapo weka lwanga/kanoute, na Morrison, kama Morrison haanzi bora simba ifungweKikosi cha Kuanza ( cha Maangamizi )
1. Aishi Manula
2. Shomary Kapombe
3. Mohammed Hussein Tshabalala
4. Henock Inonga
5. Joash Onyango
6. Jonas GENTAMYCINE Mkude
7. Pape Ousmane Sakho
8. Rally Bwalya
9. Kibu Denis
10. Meddie Kagere
11. Peter Banda
Wa Akiba wawe hawa
1. Beno Kakolanya
2. Israeli Mwenda
3. Kennedy Juma
4. Bernard Morrison
5. Thadeo Lwanga
6. Yusuph Mhilu
7. John Boko
8. Muzamiru Yasin
9. Saido Kanoute
10. Jimmyson Mwanuke
11. Pascal Wawa
Mwanangu Mkude leo 'Dimba' ni lako.
Ukiwa umecheza Mpira au una Jicho tu la Kiufundi la Mpira huwezi kuwa Mwendawazimu kusema Beki mwenye kila Kitu na katika Ligi bora na ngumu ya Congo DR mwaka Juzi alitwaa Tuzo ya Beki Bora wa ndani Congo DR nzima Henock Baka Inonga asianze Leo au asiendelee kuwa Beki Tegemeo Simba SC na ukamuamini Beki ambaye sasa ameshashuka Kiwango na Umri umeshaenda kama Pascal Serge Wawa.Nafasi ya Enonga, acheze WAWA. Kolabo ya Onyango na Wawa ipo stable sana kuliko Onyango na Enonga
Hujui Mpira acha Kutupotezea tu muda.Kibu sio wa mechi hizi zinazohitaji active brain muda wote
Ngoja nimpe Dozi yake.Unamtafuta jamaa 🤣
Umepatia kote kasoro hapo kwa Denis Kibu tu.Kikosi cha Kuanza ( cha Maangamizi )
1. Aishi Manula
2. Shomary Kapombe
3. Mohammed Hussein Tshabalala
4. Henock Inonga
5. Joash Onyango
6. Jonas GENTAMYCINE Mkude
7. Pape Ousmane Sakho
8. Rally Bwalya
9. Kibu Denis
10. Meddie Kagere
11. Peter Banda
Wa Akiba wawe hawa
1. Beno Kakolanya
2. Israeli Mwenda
3. Kennedy Juma
4. Bernard Morrison
5. Thadeo Lwanga
6. Yusuph Mhilu
7. John Boko
8. Muzamiru Yasin
9. Saido Kanoute
10. Jimmyson Mwanuke
11. Pascal Wawa
Mwanangu Mkude leo 'Dimba' ni lako.
Wasemeni Wote ila siyo Jonas Mkude Ok?Tatizo la Mkude akiwa pekee ake kama kiungo mkabaji anapoteana
Pumbavu.Hujawai fundisha ata timu ya wanawake mtaani kwako. Hutajua vipi professional ya ukocha
Heko Mkuu Wapumbavu wengi hawajui.Inonga, ni full package [emoji403]
Huna Akili na hujui Mpira acha Kutukera.Hivi Bwalya ana nini zaidi ya back pass?mchezaji anapoteza mipira Kirahisi sana
Ukimchukia Jonas Mkude jua huna Akili.Mkude ni uchochoro..kwa washambuliaji wakali kama kina Adebayo hatuhitaji kubet hapo katikati. Lwanga inatakiwa akate umeme mazima hapo katikati
Hujui Mpira acha Kutupotezea tu muda.bwallya na kibu toa hapo weka lwanga/kanoute, na Morrison, kama Morrison haanzi bora simba ifungwe
But Sure. Bwalya ni Muhimu mno tu leo.Bwalya yuko slow sana,
Mnaotaka Wawa aanze hamna Ubongo.Kumbe unaona kama Mimi. Sema kocha sijui ana shida Gani na Wawa.