Ningekuwa ndiyo Kocha Pablo kwa Mechi Muhimu ya Leo wala nisingepoteza muda badala yake 'ningejilipua' tu 'mazima' na Kikosi changu hiki...

Nimzuri kwenye kulazimisha backline ya timu pinzani,

Anajicho la ziada mchezoni, mfuatilie

Kibu ni mzuri, Ila si kwa gemu kama hii, huwa anachelewa kuingia mchezoni
Morrison ni mzururaji Tu,
Tena anapenda sn kucheza na jukwaa.
Kibu ni mzuri akitokea pembeni,
Pia body language yake inawatisha wapinzani hapo mbele.

Sent from my M2101K7BG using JamiiForums mobile app
 
Morrison ni mzururaji Tu,
Tena anapenda sn kucheza na jukwaa.
Kibu ni mzuri akitokea pembeni,
Pia body language yake inawatisha wapinzani hapo mbele.

Sent from my M2101K7BG using JamiiForums mobile app
Naona tunamitazamo tofauti kwenye, (sio kitu kibaya).

Tuzidi kuiombea timu yetu ikapate matokeo mazuri, kwa yeyote atakaye anza.

SIMBA NGUVU MOJA [emoji1548]
 
Nafasi ya Enonga, acheze WAWA. Kolabo ya Onyango na Wawa ipo stable sana kuliko Onyango na Enonga
Kumbe unaona kama Mimi. Sema kocha sijui ana shida Gani na Wawa.
 
bwallya na kibu toa hapo weka lwanga/kanoute, na Morrison, kama Morrison haanzi bora simba ifungwe
 
Nafasi ya Enonga, acheze WAWA. Kolabo ya Onyango na Wawa ipo stable sana kuliko Onyango na Enonga
Ukiwa umecheza Mpira au una Jicho tu la Kiufundi la Mpira huwezi kuwa Mwendawazimu kusema Beki mwenye kila Kitu na katika Ligi bora na ngumu ya Congo DR mwaka Juzi alitwaa Tuzo ya Beki Bora wa ndani Congo DR nzima Henock Baka Inonga asianze Leo au asiendelee kuwa Beki Tegemeo Simba SC na ukamuamini Beki ambaye sasa ameshashuka Kiwango na Umri umeshaenda kama Pascal Serge Wawa.
 
Umepatia kote kasoro hapo kwa Denis Kibu tu.
 
Mkude ni uchochoro..kwa washambuliaji wakali kama kina Adebayo hatuhitaji kubet hapo katikati. Lwanga inatakiwa akate umeme mazima hapo katikati
Ukimchukia Jonas Mkude jua huna Akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…