sblandes
JF-Expert Member
- Apr 25, 2010
- 6,632
- 4,737
Bado nasimama pale pale wawe wamepita Majambazi, Mafisadi, Wahuni na Masikini ila ' Maamuzi ' ya waliowapendekeza yaheshimiwe daima tu.
Hao majangili, mafisadi nk wapelekwe mahakamani haki itendeke, kamati ya ccm haina uwezo wa kuchunguza na kuhukumu mtu.
Kwa hiyo wajumbe wa chama hawana akili za kutambua nani mbaya nani anafaa?Hapana kuna watu wanasifa mbaya lkn wamepita.ni muhimu wachujwe.waliopita kuna majangili,mafisadi,majambazi n,k.
Je ni Magufuli, Bashiru na Polepole ndio wenye macho mengi kuliko wajumbe wa matawi?
Bashiru hajifunzi kwa Nyerere alipomkata Salwat ,na Salwat akakimbilia chama cha Congress na kumshinda vibaya sana mgombea ubunge kupitia TANU.