Ningekuwa P funk, Ningeipumzisha Mike aliyokuwa anaitumia Ngwair

Ningekuwa P funk, Ningeipumzisha Mike aliyokuwa anaitumia Ngwair

Kwa heshima ya Mziki wake hapa nchini laiti ningekuwa P Funk (majani) ningeipumzisha Mike aliyokuwa anaitumia Ngwair kuingiza vocal zake pale Bongo Record

Ningetafuta site nzuri, Sanduku la kioo na kuiifadhi humo ili kila mwenye nia ya kutaka kuitazama na aje aitazame mike iliyoingiza Vocal ya Mikasi.

Vivyo hivyo ningekuwa Marco chali ningeipumzisha mike aliyokuwa anaitumia King Zilla(God zilla), Na kuipa heshima kubwa pale studio,

Watanzania tujifunze kutoa heshima kwa watu flani katika jamii yetu,
Tuwe na utaratibu wa kuifadhi history.

Ni jambo dogo ukilichukulia kwa juu juu lakini kama p funk majani atalitazama kwa Future basi litaleta maana kwa sababu kwa kuipa heshima Mike tu ya Ngwair,Huko miaka kenda inaweza kuuzwa kwa madolali ya kutosha.


Wazungu wameshatupita kwa hili.



Cc Zero IQ
Ningekua pale TOT ningepumzisha microphone aliyo itumia Komba ili waje watalii kuiangalia
 
Sasa hiphop na kugegeda wap na wap mkuu
emoji23.png
emoji23.png
Mkuu 2pac Amaru Shakur a.k.a Makaveli alikuwa mtu wa hizo mambo balaa.
Muulize mjane wa mwendazake Big Notorious bi Faith Evans.
 
Tuache utani wazee ila FD Q ana punch lines kali zaid za hip hop. R.i.p Ngwea
 
Back
Top Bottom